TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

Sio yeye tu kuna watanzania wengi tu wamekufa kwa sababu ya kupata huo mshtuko wa Mbowe kukamatwa kwa Ugaidi
 
Nyumbx walisema wanaokufa ni wale wenye roho mbaya tu, vipi baba mdogo na yeye alikuwa katili sana?
Alale anapostahili baba mdogo wa Mbowe.
Goliati na Farao kufa, haimaanishi Daudi na Musa wasingekufa, walikuwa na kiburi cha uzima, elewa tofauti...
 
RIP Manase
Jumong akituma pole tena mnitag
CCM ni chama cha kishetani, kidhalimu, kiharamia na kinajisi kinacholenga kuidhoofisha nchi yetu nzuri ajabu na tajiri aliyotupa MUNGU Mwenyezi. Ee Mungu, Muumba wa Mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, uturehemu.
 
Mungu azidi kuwajalia ujasiri wanafamili, wa kuweza kuyapokea mapenzi ua Mungu.

Mbowe, katika haki kuna majaribu mengi. Simulizi ya Ayoub ikupe ujasiri.
 
Mwamba majanga yanamuandama ila anapambana hadi mwisho. Huyu mwamba simuelewagi kabisa ana moyo wa namna gani yaani hadhoofishiki. Hata hili litapita na atakuwa imara kuliko jana.
Mbali ya mambo mengine Makuzi pia yanachangia kwenye ujasiri wa mtu.
 
Mwamba ana trend kinoma Ila Sasa naona anapitia magumu,

Mimi nadhani wangempa favor Wamuache agonge fegi zake na whiskey japo alale kwa utulivu huko alipo.
 
Umetumia kipimo gani kujua chanzo cha kifo chake?
Mtungi wa gesi ya oxygen aliopatiwa baada kupata changamoto la upumuaji baaa ya kutoka kwenye msiba wa marehemu kaka yake na F. Mbowe. Jamaani hili janga la corona tusilifanyie mzaha. Tuchuke tahadhari zote tunazoshauriwa na watalamu wa afya. Misangamano ya watu iwe marufuku na wala kusiwe na kibali cho chote kuruhusu misongamano. Iwe kwenye nyumba za ibada, viwanja za michezo, sherehe za arusi, kwenye daladala, kwenye mabasi, majumbani na kwenye masoko iwe marufuku.

RIP baba yake mdogo na Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…