Baba mkwe hataki nihame kwake

Baba mkwe hataki nihame kwake

Unaposema uongo jitahidi kuwa na kumbukumbu.....
Screenshot_20240221-132333.png
 
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.

Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.

Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"

Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.

Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.

Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Wewe si ulisema unafundisha UDSM? Kumbe ni masikini fukara choka mbaya! I seeee! Jamii Forums inaficha mengi!
 
Ehee namm Hilo nmeliona, tatizo ni kama ananitisha nsiondoke,, leo asbui napiga mswaki naona viusalama wa Taifa vinazunguka zunguka kwa nje, ukicheki tarehe za mshahara zmekaribia
Mkuu paye ya mshahara wa 2m unakatwa ngapi, au wewe hukatwi????
 
Ehee namm Hilo nmeliona, tatizo ni kama ananitisha nsiondoke,, leo asbui napiga mswaki naona viusalama wa Taifa vinazunguka zunguka kwa nje, ukicheki tarehe za mshahara zmekaribia
Lugha yako siielewi ujue tangu umefungua uzi
Hao usalama ni maneno ya mtaani kama mgambo ama watoto wake
Unanichanganya ujue 😄
 
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.

Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.

Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"

Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.

Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.

Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Anataka mpaka mpate waume muolewe ndo awaruhusu mkakae kwenu na waume zenu.
 
Hapa jf kusaidiana mchek huyo jamaa akupe huduma ya haraka ya kuiba kitanda na wewe na wewe ukajiiba ( Maana ulikuwa una lelewa) wote mkae kwenye boda usepe kwa wakati mmoja.

Ukiachana na chuki za comment hii basi imejaa moyo wa kumsaidia mtu mana vijana ni kusaidiana.
 
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.

Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.

Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"

Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.

Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.

Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Mbona imewekewa Tetesi?
 
Back
Top Bottom