The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
- Thread starter
-
- #21
Ehee namm Hilo nmeliona, tatizo ni kama ananitisha nsiondoke,, leo asbui napiga mswaki naona viusalama wa Taifa vinazunguka zunguka kwa nje, ukicheki tarehe za mshahara zmekaribiaAah yaani kama unamchungia nyumba
Hama tu maana anakufanya watchman hapo
Wewe si ulisema unafundisha UDSM? Kumbe ni masikini fukara choka mbaya! I seeee! Jamii Forums inaficha mengi!Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Mkuu paye ya mshahara wa 2m unakatwa ngapi, au wewe hukatwi????Ehee namm Hilo nmeliona, tatizo ni kama ananitisha nsiondoke,, leo asbui napiga mswaki naona viusalama wa Taifa vinazunguka zunguka kwa nje, ukicheki tarehe za mshahara zmekaribia
Lugha yako siielewi ujue tangu umefungua uziEhee namm Hilo nmeliona, tatizo ni kama ananitisha nsiondoke,, leo asbui napiga mswaki naona viusalama wa Taifa vinazunguka zunguka kwa nje, ukicheki tarehe za mshahara zmekaribia
Anataka mpaka mpate waume muolewe ndo awaruhusu mkakae kwenu na waume zenu.Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Mzee si ndo nna mpango wa kuhama apa au?Unaposema uongo jitahidi kuwa na kumbukumbu..... View attachment 2911013
KwannIla una moyo sana.
Kasanii tu haka.Hivi vi-watoto vya miaka ya 2000 ni kero kweli kweli, ulianza je kuoa ukiwa kwa baba mkwe?
Kwetu mkoani, ila mi nafundishia apa darKwenu ni wapi? Kwa nini uishi kwa watu?
Duh, ilo kampuni liko based in Arusha...mi nafundishia apa darKasanii tu haka.
Kuna sehemu kalijidai wanamiliki kampuni kubwa ya ujenzi, ina maana hiyo kampuni ilishindwa kumpa hata geto la kuishi?
Amna, uyu bamkwe ni mtu mkubwa sana, akitaka kunipoteza ni simu moja tuLugha yako siielewi ujue tangu umefungua uzi
Hao usalama ni maneno ya mtaani kama mgambo ama watoto wake
Unanichanganya ujue 😄
Eeh acha basiUnaweza kukuta ni mume mwenza
Mi mshahara wangu takehome ni 2.5 izo PAYE,Heslb,Nssf nakuachia Wewe upigeMkuu paye ya mshahara wa 2m unakatwa ngapi, au wewe hukatwi????
Mbona imewekewa Tetesi?Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.
Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.
Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"
Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.
Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.
Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Hebu tueleze hapoAmna, uyu bamkwe ni mtu mkubwa sana, akitaka kunipoteza ni simu moja tu