Baba Mtakatifu hajabariki ndoa za jinsia moja!

Hatari master
Muamini Mungu wa mouyoni mwako, achana na viongozi , kuanzia sijui wa walokole, wa urum, uluther/wajerumani, uyahudi hamna kitu, siku za mwisho kila mtu asimame na Mungu na si kusimama na dni.
Toka jana sijalala naangalia wakatoliki wanavyohangaika na kutoa tafsiri ya Papa. kwamba anabariki ndoa za wanaume wanaofir***, wnazunguka mpaka wanajisahau wanacho ongelea ila Papa kishaweka wazi, kama hutaki nenda kaanzishe kanisa lako.
 
Weka haya mahojiano tuone, naona kama chumvi imezidi.
 
Meku huyo papa lazima nae shoga toka ameteuliwa ni vituko tu ...mbona wenzake walikua hawako hivyo,hili kanisa litanishinda ntabaki n mungu wangu
Sasa unachelewa nn? Muda ndo huu baki na Mungu wako.
Kanisa waachie wengine. Mxxxxxiiiiieeeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…