Baba mtoto kanitelekeza

Mtoto Hana Baba
 
Ana uhakika ila ni muoga sana wa maisha. Ni kawaida yake kuwapa wanawake zake dawa za kuua watoto Kwa kisingizio kuwa hana maisha. Aliwahi kuwa na mtoto mmoja ambaye hajui ada wala chakula. Kiufupi ni mtu asiyependa majukumu. Yeye anachojua ni pombe.
Muache aende akaikologee zege.

CC Yombo msukuma
 
Umetumia akili sana kwenye hii comment
 
Duuuh! mkuu,mwanaume akiwa aabet responsibly,hafai kumuoa mdada anayejielewa?
Mbona naona walimu,manesi,madaktari,wafanyabiashara n.k wanabeti?
Aisee.
 
Hakuna sehemu niliyosema ilikua Bahati mbaya mkuu. Siku hizi wanawake tunajitambua ila wanaume waliobaki Ni wachache mno.
Ungekuwa unajitambua tokea mwanzo ungejua huyu sio mwanaume sahihi kwako sababu yakuwa naye muda wote ni nini?
 
Hahahaha ana date na wanachuo halafu yupo 36, yaani mwanaume huwa hatoki kama wewe hujamsababisha, yaani problem yako unamchukulia huyo jamaa kama mdori and not husband to be. Hakuna mwanaume anayependa kuchukuliwa kama msukule wa kwenye TV series. Wanawake wengi wajinga wakiona waume zao wanapata matatizo badala ya kuwaombea eti unaungana na dunia kumlaani. Wewe ni moja ya hao. Muombe Mungu akupe neema ya kutambua.
 
.......Kiukweli mimi nilifurahi mno nilipojigundua ni mjamzito. Hata wazo la kutoa sikua nalo kichwani. Niliamua moyoni hata kama jamaa ataamua kuondoka lakini priority ya kwanza ni mtoto wangu.
Single mother by your own conset.

Bear the consquences as results of your decision to have kid before marriage.
 
Naona umekwepa kutumia neno kuwa aachr ujinga.

Nimesoma btn lines nimeona mtoa hoja ana tayizo ambalo hatoweza kutulia na mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…