Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali.
Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi.
Dawa hizo ni Medroxy Progesterone (vichupa 60) na Microgynon pills (vidonge 3360) zote zikiwa na thamani ya Sh. 300,000.
Hivyo kwa sasa Sad na mtoto wake wanatuhumiwa kuuza dawa hizo za Serikali na wamefunguliwa jalada polisi RB No.NL/RB/94/221 na yuko ndani kwa hatua zaidi kisheria.