Baba mwenye nyumba akipendwa na housegirl ni balaa

Huyo housegirl nae ana matatizo,wanaume wote hao hawaon mpaka ampende bos wake
 
Huyo housegirl nae ana matatizo,wanaume wote hao hawaon mpaka ampende bos wake

Ukimwambia kitu kama hicho atakwambia, anakutaka wewe, mbaya zaidi maneno ya mwanamke siku zote hukawia kutoa moyoni mwa mwanaume.

mzee utakaa siku mbili siku ya tatu ("subiri mamayoo atoke kwanza tuzungumzee, siku ya nne mambo yataharibika)
 
Unapaswa ulikatae hilo kwa nguvu zote maana ukizidi kumuweka karibu atakuharibia nyumba
 
Huyo ni baba mwenye nyumba aliyekosa busara kumkubalia huyo hous girl,kwa mwanaume anayejiheshimu na kumheshimu mkewe kamwe hawezi kukubali atakachokifanya ni kumkemea huyo bint kwa busara na kumwelewesha kwamba anachotaka wafanye sio sahihi km hataelewa baba anatakiwa kumjulisha mkewe na kumfukuza kazi huyo binti kwan ana nia ya kuharibu hiyo ndoa.
 
Ukimwambia kitu kama hicho atakwambia, anakutaka wewe, mbaya zaidi maneno ya mwanamke siku zote hukawia kutoa moyoni mwa mwanaume.

mzee utakaa siku mbili siku ya tatu ("subiri mamayoo atoke kwanza tuzungumzee, siku ya nne mambo yataharibika)

ni udhaifu tuu...bint kutoka shamba asiyejua hata kuoga, naye anakupelekeshaje puta....mmh!
 
Kukubali kutegwa na house gel ni kukubali kumdhalilisha wife wako na kuidhaiilisha familia yako kwa ujumla! Kama baba ndani ya nyumba ni vzr kuwa na misimamo thabiti ya kimaisha na maendeleo, siyo kwenda kuangukia kwenye kifua cha house gel, ni aibu na dharau kwa mkeo!
 
kwanza huyo HG ataanzaje kumtega bosi wake anyway inategemea na mambo mengi kama vile mke wa boss kutojua wajibu wake 'the way she use to handle her husband'pia na age ya huyo beki tatu na the way she looks maanakunawengine huwezi tofautisha nan hous girl na nan mama mwenye nyumba
 
Umeongea mambo ya msingi sana hapa.

1. Uchaguzi wa mfanyakazi wa ndani unamata sana.
2. Wajibu wa mama mwenye nyumba uzingatiwe. japo kina mama wengi wanapuuzia sana .
3. Msimamo wa boss ni muhimu, kwani kutengwa si kunasa, unaruka mtego safari inendelea , kama mtego bado unasumbua ng'oa kila kitu maisha yaendee
 
kukubali kutengwa na hg ni kukubali kuwa chizi
 
Lakini usimwachie mumeo ahudumiwe kila kitu.
 
Lakini usimwachie mumeo ahudumiwe kila kitu.
Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe.
 
Uendelee na moyo huu huu usirudi nyuma! Shida ni pale utapoanza kujisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…