Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo housegirl nae ana matatizo,wanaume wote hao hawaon mpaka ampende bos wake
Ukimwambia kitu kama hicho atakwambia, anakutaka wewe, mbaya zaidi maneno ya mwanamke siku zote hukawia kutoa moyoni mwa mwanaume.
mzee utakaa siku mbili siku ya tatu ("subiri mamayoo atoke kwanza tuzungumzee, siku ya nne mambo yataharibika)
ni udhaifu tuu...bint kutoka shamba asiyejua hata kuoga, naye anakupelekeshaje puta....mmh!
SIDHANI KAMA KUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUCHOMOKA HAPO.![]()
wapi???!!!sidhani kama kuna mwanaume anayeweza kuchomoka hapo.![]()
wapi???!!!
SIDHANI KAMA KUNA MWANAUME ANAYEWEZA KUCHOMOKA HAPO.![]()
kwanza huyo HG ataanzaje kumtega bosi wake anyway inategemea na mambo mengi kama vile mke wa boss kutojua wajibu wake 'the way she use to handle her husband'pia na age ya huyo beki tatu na the way she looks maanakunawengine huwezi tofautisha nan hous girl na nan mama mwenye nyumba
Kukubali kutegwa na house gel ni kukubali kumdhalilisha wife wako na kuidhaiilisha familia yako kwa ujumla! Kama baba ndani ya nyumba ni vzr kuwa na misimamo thabiti ya kimaisha na maendeleo, siyo kwenda kuangukia kwenye kifua cha house gel, ni aibu na dharau kwa mkeo!
Huyo ni baba mwenye nyumba aliyekosa busara kumkubalia huyo hous girl,kwa mwanaume anayejiheshimu na kumheshimu mkewe kamwe hawezi kukubali atakachokifanya ni kumkemea huyo bint kwa busara na kumwelewesha kwamba anachotaka wafanye sio sahihi km hataelewa baba anatakiwa kumjulisha mkewe na kumfukuza kazi huyo binti kwan ana nia ya kuharibu hiyo ndoa.
Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe.Lakini usimwachie mumeo ahudumiwe kila kitu.
Mie wangu nitahudumia mwenyewe mwanzo mwisho hata km naumwa kwanza sina mpango wa kuwa na hg labda mpaka niwe na watoto,hg hataruhusiwa kbs kumzoea faza hous na mambo yote yanayomuhusu faza housi nitadeal nayo mwenyewe.