Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.

Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana kuvizuia visiende nje.

Maji yalijaa robo tatu ya nyumba...angalau sasa yamepungua mpaka tofali ya nne toka chini.familia nimeipeleka kwa wazee mimi nmerudi kuja pambana maana najua masela hawatacheza mbali.ingawa tv radios n.k nliviondoa.

Kinachoniuma mwenye nyumba nilianza mpigia simu asubuhi akawa hapokei, baadaye akazima kabisa simu.najua kwa nini hapokei. Nimeshachukua video ya hali ya hapa na pia nina ushahidi wa video siku ile namuuliza mara tatu akiwa na dalali kodi inaisha next week tu.

Sihami mpaka mafuriko mengine yanapokaribia na kodi simlipi kufidia uharibifu.
 
Wewe maeneo ya mafuriko hapa mjini huyajui mpaka uhakikishiwe? Ina maana hata mademu huwa unawauliza Kama Wana ngoma au gonoe
 
....................nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.
1602817837222.png

Kipanya naye anamtafuta dalali wake
 
Mkuu ulivyoambiwa tunayasikia kwa majirani ungejiongeza kidogo tu sababu kilichompata mamba na boko kitampata. Pole sana.
 
Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.

Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana kuvizuia visiende nje.

Maji yalijaa robo tatu ya nyumba...angalau sasa yamepungua mpaka tofali ya nne toka chini.familia nimeipeleka kwa wazee mimi nmerudi kuja pambana maana najua masela hawatacheza mbali.ingawa tv radios n.k nliviondoa.

Kinachoniuma mwenye nyumba nilianza mpigia simu asubuhi akawa hapokei, baadaye akazima kabisa simu.najua kwa nini hapokei. Nimeshachukua video ya hali ya hapa na pia nina ushahidi wa video siku ile namuuliza mara tatu akiwa na dalali kodi inaisha next week tu.

Sihami mpaka mafuriko mengine yanapokaribia na kodi simlipi kufidia uharibifu.
Safi tena hiyo dawa,na siku atakupigia simu kudai kodi usipokee na akizidi mzimie simu
 
Hiki ndicho kipindi cha kutafuta chumba au nyumba ya kupanga maana utajua mbivu na mbichi
 
Ulimuulza kwa maandish
Na yalikua maelewano ya kimaAndish au..?

Kubali hasara kama huna maandish kamili mkuu. Tafuta nyumba nyingne
 
Kwa hiyo uko radhi uelee kwenye maji nusu mwaka wote huu sababu ya kufidia?. Yaani kweli uendelee kuishi kwenye uchafu sababu ya kumkomoa mtu?. Hapo ndipo ulipo-fail kamanda. Katika maisha unayoishi kanuni iwe hivi CHA KWANZA KULIKO VYOTE IWE NI WEWE,YAANI JIJALI KULIKO CHOCHOTE,KULIKO YEYOTE. Kwani hela shilingi ngapi kamanda mpaka uhatarishe uhai,afya yako?. Tena umesema kodi imeisha.
 
Back
Top Bottom