Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

naona mzee unasubiria maushahidi .......
 
Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.

Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana kuvizuia visiende nje.

Maji yalijaa robo tatu ya nyumba...angalau sasa yamepungua mpaka tofali ya nne toka chini.familia nimeipeleka kwa wazee mimi nmerudi kuja pambana maana najua masela hawatacheza mbali.ingawa tv radios n.k nliviondoa.

Kinachoniuma mwenye nyumba nilianza mpigia simu asubuhi akawa hapokei, baadaye akazima kabisa simu.najua kwa nini hapokei. Nimeshachukua video ya hali ya hapa na pia nina ushahidi wa video siku ile namuuliza mara tatu akiwa na dalali kodi inaisha next week tu.

Sihami mpaka mafuriko mengine yanapokaribia na kodi simlipi kufidia uharibifu.
Usihame😂😂😂
 
kipanya ana

Kipanya naye anazingua, simu yake yenyewe ishalowana amemtafutaje.?angekuwa kawahi juu ya bati labda
1602837692821.png


🙌
 
Back
Top Bottom