Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Pole hivi huwezi ukaangalia hata mtaa ukajua tu kuwa mafuriko yapo?Hii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nlimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani...
....................nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.
Safi tena hiyo dawa,na siku atakupigia simu kudai kodi usipokee na akizidi mzimie simuHii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.
Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana kuvizuia visiende nje.
Maji yalijaa robo tatu ya nyumba...angalau sasa yamepungua mpaka tofali ya nne toka chini.familia nimeipeleka kwa wazee mimi nmerudi kuja pambana maana najua masela hawatacheza mbali.ingawa tv radios n.k nliviondoa.
Kinachoniuma mwenye nyumba nilianza mpigia simu asubuhi akawa hapokei, baadaye akazima kabisa simu.najua kwa nini hapokei. Nimeshachukua video ya hali ya hapa na pia nina ushahidi wa video siku ile namuuliza mara tatu akiwa na dalali kodi inaisha next week tu.
Sihami mpaka mafuriko mengine yanapokaribia na kodi simlipi kufidia uharibifu.
Hiki ndicho kipindi cha kutafuta chumba au nyumba ya kupanga maana utajua mbivu na mbichiHii nyumba nlipokuja siku ya kwanza nilimwuliza dalali na mwenye nyumba haina mafuriko. Akanihakikishia kuwa hapa mafuriko huwa watu wanasikia tu kwa jirani.
Nikamuuliza kwa mara ya tatu akanijibu hapa ni shwari kabisa, leo hii naandika hii text maji yamejaa ndani vyombo vinaelea tunapambana kuvizuia visiende nje.
Maji yalijaa robo tatu ya nyumba...angalau sasa yamepungua mpaka tofali ya nne toka chini.familia nimeipeleka kwa wazee mimi nmerudi kuja pambana maana najua masela hawatacheza mbali.ingawa tv radios n.k nliviondoa.
Kinachoniuma mwenye nyumba nilianza mpigia simu asubuhi akawa hapokei, baadaye akazima kabisa simu.najua kwa nini hapokei. Nimeshachukua video ya hali ya hapa na pia nina ushahidi wa video siku ile namuuliza mara tatu akiwa na dalali kodi inaisha next week tu.
Sihami mpaka mafuriko mengine yanapokaribia na kodi simlipi kufidia uharibifu.
Kipanya naye anazingua, simu yake yenyewe ishalowana amemtafutaje.?angekuwa kawahi juu ya bati labda