City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Mambo ya dominant v/s recessive genes. Biology ya form 4.Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.
Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.[emoji344][emoji344][emoji344][emoji2740]kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
Wenzio wakiwa darasani, we unajificha chooni kupoteza muda.
😁
Jokes tu.