King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kitanda hakizai haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapacha wanaweza kuwa na baba tofauti😄 au hulijui Hilo mkuuinawezekana
nina mapacha wakike wawili mmoja pure black mwengine mweupe
mimi na mwenzangu wote ni pure black same kwa wazazi wetu
siku moja nilikuwa namtania huyu mweupe namwambia wewe unapaka mkorogo wewe akawa anacheka tu maana haelewi hata ilikuwa ni ile kucheza mama na mtoto lakin babu yao alikuwepo pembeni akaniambia unamuona huyo mtoto marehemu mama yangu mzazi alikuwa hivyo hivyo hadi haiba hiyo hiyo
nikaanza sasa kuelewa kwanini anampenda sana kuliko huyu mwingine yaani wana bond kubwa sana they can spend hours together na usielewe mtu mzima anaongea nini na mtoto wa 3yrs
kuja huyu cheusi mangala ni pure baba angu yaani ile kufanana hadi kichwa kilivyokaa na aina ya nywele
Kapime DNA mkuu, wanawake hawaelewekiWanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.
Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.[emoji344][emoji344][emoji344][emoji2740]kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
Hao ni heterozygous white lakini wana Gene za black ndo maana kwenye kizazi chao wamezaa watoto weusi.Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.
Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.[emoji344][emoji344][emoji344][emoji2740]kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
Kitanda hakizai haramu mkuu 😂Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.