Baba mweupe Mama mweupe watoto weusi kitaalamu inakaaje?

.
 

Attachments

  • Screenshot_20240117_090642_WhatsApp.jpg
    244.2 KB · Views: 7
Nina shangazi yangu ni mweupe na anafana na sura na babu. Lakini bibi na babu wote walikuwa weusi
 
Mapacha wanaweza kuwa na baba tofauti😄 au hulijui Hilo mkuu
 
Kapime DNA mkuu, wanawake hawaeleweki
 
Hao ni heterozygous white lakini wana Gene za black ndo maana kwenye kizazi chao wamezaa watoto weusi.
NB: rangi nyeupe ilikuwa dominant na rangi nyeusi ilikuwa recessive
 
Kitanda hakizai haramu mkuu 😂
 
Kuna mtoto nilimuona baba mweupe mama mweupe ye mweusi tii hafanani na baba wala mama.....siku nimemuona bibi yake (bibi mzaa baba) yule mtoto ni photocopy ya yule bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…