TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Hongera miaka ya 70 upo university. Hakika umeona mengi. Mungu aendelee kukutunza uone hadi watoto wa vitukuu wako.

Mbona umekadiria university wakati amesema huo mwaka 1970 walikuwa pamoja tanga school na sio chuo..
 
Inawezekana hayo unayosema ni kweli. Lakini kumbuka mabadiliko yalitokea TZ. wewe unaongelea mtu alieyezaliwa miaka zaidi ya 70 iliyopita. Inawezekana na nadhani ni kweli sasa hivi hiyo mila haipo, lakini wakati wa Mkapa au Ndunguru ambao umri wao ni 70+ inawezekana ilikuwepo. Wewe umekaa huko 16 lakini wao walizaliwa over 70 years ago.
 
Huo muda ni gharama sana...siwezi poteza gharama zangu ku-prove this nonsense

Tunamalizia hapa hapa JF tu...

Gharama hasara zote za nini?

Hivi vitoto vibishoo mno,vimekimbia jina Ndunguru,limekaa kiukulima sana!

Simple mathematics tu!
Hayo maoni yako tu. Maoni siyo lazima yawe kweli au yawe na ukweli. Maoni ni hisia.
 
Wewe checkibobu (kwa matamshi yako), wao bishoo (kwa matamshi yako), mbona wote hamna tofauti..checkibobu na bishoo!
 
Mapumbavu mabishoo yale

Yanajua Ndunguru ni jina la kirugaruga la kusini asilia,hawalitaki

Eti Jok8 Mwegelo..anajisahaulisha NDUNGURU!

Mapumba haya maviazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini hukutumia fake name ya kiafrika? Kwani ukijiita NyamoriEkehwe nani atajuwa jina lako halisi
 
Shikamoo Mzee KSK...
 
Hivi wewe kweli una akili timamu. Mtu amefiwa, unamshambulia, alafu unasema aache matanga aje kujibu haya unayoyaandika. Hivi kweli mtu amefiwa na baba yake atakuwa na nguvu za kuingia Jamii Forums. Wewe ni nani mpaka mtu aache matanga ya baba yake aje kujibu hoja zako! Hata mwajiri wake JPM hatathubutu kumtafuta ajibu mambo ya kazi akiwa kwenye matanga. I am disappointed with You!
 
no comment
 
Ninachoweza kusema ni kuwa umetoa ukweli wako na pia umetoa nafasi ya uwezekano wa mila hiyo ila wewe hukuikuta na kwenye ancestral tracing pia hukukutana na hili, laakini umehitimisha kwa kusema kama hii mila ilikuwepo basi ni ya muda mwingi uliyopita. Pia, nimependa ulivyosema kuwa haya huwa unayasoma vitabuni lakini huna "first hand knowledge/experience".
 
Sasa anadate na Lizee la Miaka 62 Mjukuu atapatikana vipi? Zee lenyewe Roho mbaya kama ya Sheytwani
Whoever she dates is none of your business. If older women date younger men, what is wrong with dating older men. Au unaona wivu wa kumkosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…