TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Hongera miaka ya 70 upo university. Hakika umeona mengi. Mungu aendelee kukutunza uone hadi watoto wa vitukuu wako.

Mbona umekadiria university wakati amesema huo mwaka 1970 walikuwa pamoja tanga school na sio chuo..
 
Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.

Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Inawezekana hayo unayosema ni kweli. Lakini kumbuka mabadiliko yalitokea TZ. wewe unaongelea mtu alieyezaliwa miaka zaidi ya 70 iliyopita. Inawezekana na nadhani ni kweli sasa hivi hiyo mila haipo, lakini wakati wa Mkapa au Ndunguru ambao umri wao ni 70+ inawezekana ilikuwepo. Wewe umekaa huko 16 lakini wao walizaliwa over 70 years ago.
 
Huo muda ni gharama sana...siwezi poteza gharama zangu ku-prove this nonsense

Tunamalizia hapa hapa JF tu...

Gharama hasara zote za nini?

Hivi vitoto vibishoo mno,vimekimbia jina Ndunguru,limekaa kiukulima sana!

Simple mathematics tu!
Hayo maoni yako tu. Maoni siyo lazima yawe kweli au yawe na ukweli. Maoni ni hisia.
 
Mkuu

Naelewa unampa benefit of the doubt...i can see your concern

Ukimwambie ajieleze atakupa maneno meeengi na sababu kibao utaona mkweli

Ila mimi kama checkbobu,najua for sure hawa watoto jinsi walivyo mabishololo walilikimbia jina la Ndunguru,thats the fact huwezi nibadili

Ingekua majina makubwa kama Mkapa,Mushi,Massawe,Kikwete,etc wangetumia hawa wehu

I follow my insticts,sifati majibu yao hawa..hawakosi majibu hawa vichaa
Wewe checkibobu (kwa matamshi yako), wao bishoo (kwa matamshi yako), mbona wote hamna tofauti..checkibobu na bishoo!
 
Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Mapumbavu mabishoo yale

Yanajua Ndunguru ni jina la kirugaruga la kusini asilia,hawalitaki

Eti Jok8 Mwegelo..anajisahaulisha NDUNGURU!

Mapumba haya maviazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Brother

No ID hapa ni jina halisi la mtu....

Naweza jiita MAVI kama ID,sio jina langu,ni internet fake name mzee

Hoja yako ya ID ni hovyo maana tuna deal majina ya uongo humu

Mimi ni traditionalist,Jokate kutokutumia jina la NDUNGURU ni kosa kwangu mimi

Unakwepaje kwenu?Ili tu usionekane ni mtu wa kusini ambapo ni kwenu na ndio asili ya uzao wako na mababu zako?

Siwezi samehe mamaeeee zenu
Kwa nini hukutumia fake name ya kiafrika? Kwani ukijiita NyamoriEkehwe nani atajuwa jina lako halisi
 
Jamani, kwanza mwenzenu kafiwa, sasa haya ya kuhoji sijui baba, sijui matrilineal/ patrilineal, sijui ni baba, sijui eti ni baba wa mkubwa. Tumfariji huyo binti na kumuombea aweze kumaliza matanga na kuendelea na maisha. Sijui ninyi mnaohoji hayo mengi mngekuwa nyie mnahojiwa wakati "your loved one" amefariki mngekuwa mnafikiria vipi. Be sensitive to other peoples problems.
Urban Ndunguru hakutangazwa kwa sababu binti yake ni mkubwa serkalini. Mimi namfamu Ndunguru ni rafiki yangu na classmate (1970-1971). Tulikuwa pamoja Tanga High School. Mliosoma UDSM bila shaka mnawafahamu wake na Prof Nditi, Prof Malekela, na wengineo wote tulikuwa Tanga High School miaka hiyo. Marehemu ni retired Senior Civil Servant (Foreign Service) na ametumikia taifa nyumbani na nje ya nchi. Kama humfahamu, wewe nyamaza tu kuliko kusema yale ambayo hayapo. Tuipe pole familia na tuache kuleta utani katika maswala ya kufiwa. It is not easy and this is not the time to go around scoring anything. All it shows is what kind of a person you are. Very thick skinned not worth to be called a gentle man or a lady.
Shikamoo Mzee KSK...
 
Brother

Nikifatilia ni too much time na wastage of my resources for nothing

Sina haja ya kufatilia au kumuuliza yeye ajibu,angetoa jibu kujitetea kwa vyovyote....

Na pia muda huo sina,na gharama za kumtafuta sina...sina muda mchafu

Na wewe unamjibia kakutuma?Kakupa kua hayo uliyotoa ndio majibu yake yeye?

No

Unabuni kama mimi hapa...

Mimi nimefata ubongo wangu ulivyomsoma,wote wamekimbia jina la NDUNGURU sababu limekaa kienyeji na linaonesha wazi kabisa linatoka kusini ambapo ni asili yao

Na walivyo mabishoo wameamua kulipiga chini

Thats my observation na sitaki ushauri au jibu lake au maelezo ya yeyote kubadili msimamo wangu,mimi ni mimi na nyie ni nyie

Kila mtu abaki na katiba ya ubongo wake binafsi...

Hata akija hapa sasa hivi akajitetea kua si kweli,SITAMUAMINI!

Kwanini usumbuane na kunielimisha?Heri mniache niamini mavi ya ubongo wangu binafsi!
Hivi wewe kweli una akili timamu. Mtu amefiwa, unamshambulia, alafu unasema aache matanga aje kujibu haya unayoyaandika. Hivi kweli mtu amefiwa na baba yake atakuwa na nguvu za kuingia Jamii Forums. Wewe ni nani mpaka mtu aache matanga ya baba yake aje kujibu hoja zako! Hata mwajiri wake JPM hatathubutu kumtafuta ajibu mambo ya kazi akiwa kwenye matanga. I am disappointed with You!
 
Daah daaaah. Siku zinakimbia mno. Ndunguru wa Foreign Affairs miaka ya 90+ Bonge la Handsome Baba. Mzee wa Matanuzi Vijana Hostel ndani Benzi la kishua. Handsome man Presentable alijua kupangilia pamba. Mkarimu Sana Kwa Wadada Wazuri wazuri. Kumbe ni babake Jokate!!! Ndio sababu Jokate ni pisi Kali karithi Kwa Baba.
RIP Urban Ndunguru.
no comment
 
Mimi ni Mwera nimemkuta babu yangu aliyezaliwa kabla ya vita vya majimaji anatumia jina la ukoo wa baba yake. Na ninaweza kukutajia majina ya generation saba nyyma ya babu na wote walikuwa wanatumia majina ya baba zao. Hata upande wa bibi yangu ni hivyo hivyo.

Hizu habari nimezisoma kwenye vitabu bila ya shaka zitakuwa za zama za mawe za kati ndiyo makabila ya kusini yalikuwa yanatumia surname za mama zao.
Ninachoweza kusema ni kuwa umetoa ukweli wako na pia umetoa nafasi ya uwezekano wa mila hiyo ila wewe hukuikuta na kwenye ancestral tracing pia hukukutana na hili, laakini umehitimisha kwa kusema kama hii mila ilikuwepo basi ni ya muda mwingi uliyopita. Pia, nimependa ulivyosema kuwa haya huwa unayasoma vitabuni lakini huna "first hand knowledge/experience".
 
Sasa anadate na Lizee la Miaka 62 Mjukuu atapatikana vipi? Zee lenyewe Roho mbaya kama ya Sheytwani
Whoever she dates is none of your business. If older women date younger men, what is wrong with dating older men. Au unaona wivu wa kumkosa?
 
Back
Top Bottom