TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Kwa hiyo hili jina la Mwegelo ni la baba wa kufikia?
Wanachanganya sana hawa jamaa!!! Huyu mzee nimeshawahi kumuona kipindi tunasoma O-Level... alikuja kumtia discipline mwanae mbele ya kadamnasi!!

Yule mshikaji alikuwa anatumia jina la Magavila, huyu Jokate anatumia Mwegelo... basi taabu tupu!!!
 
Leo tena Mc Pilipili kapoteza Mama Mzazi, wacha tuendelee kupata taarifa zaidi.
Hayo yote ni umri. Watu wengi wakifikia miaka 70, huwa wanakuwa na matatizo mengi ya kiafya. matatizo ya kiafya katika umri huo high blood pressure, diabetes, cholesterol, arthritis, asthma, GERD, na mengineyo.Ukiwa na magonjwa kama high blood pressure na diabetes ni rahisi kukumbwa na kiharusi. Nafikiri wakati mnaongelea hili mnakumbuka Pius Ng'wandu aliyefarika jana huku kwao Simiyu. Kufa ni sehemu ya safari zetu, cha muhimu kuwapa pole wahusika na siyo muda wa kuwachambua.
 
Ni kweli Mkuu,
 
 
Nani amekuambia Wyatt sio ya Kiafrika?

Una forensic audit machine ya kupita hili jina ujue halina Uafrika ndani?
Kwamba wyatt lina chimbuko Afrika😀😀. Unaanza kutafuta pa kutokea baada ya wenye vichwa kukubana.. Kubali ulichokiita upuuzi na ubishoo kwa Jokate ndo ulichokifanya kwa ID yako.. Jifunze kutoongea sana coz kuna mambo unakurupuka nayo mwisho wa siku utafanya tuwaombe Jf watuwekee ile option ya kuprove kuwa mtumiaji sio robot ukiwa una sign in..
 
#Update

PICHA 10: Kutoka Msibani kwa Baba Mzazi wa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Ndunguru, hizi ni picha za baadhi ya Watu waliofika kumfariji Jokate na Familia yake, baadhi ya waliofika ni DC Gondwe, Mwenyekiti-UVCCM Taifa,Kheri James, Meja Jen. Mbuge na wengine.

Chanzo Cha habari- Millardayo
 
Wanachanganya sana hawa jamaa!!! Huyu mzee nimeshawahi kumuona kipindi tunasoma O-Level... alikuja kumtia discipline mwanae mbele ya kadamnasi!!

Yule mshikaji alikuwa anatumia jina la Magavila, huyu Jokate anatumia Mwegelo... basi taabu tupu!!!
Duh,mama zetu hawa balaa sana
 
Ni kweli nilikuwa chuo kikuu miaka ya 70, lakini siyo Mlimani.

Hongera sana mzee.. nipo early 30s... nafurahi sana kuona wazee mna afya njema.. muwe mnatupa ushauri vijana mambo ya kufanya ili tuishi kama nyinyi.. maana mnatuonea aibu kutuambia ukweli mtaani ukimwi na magonjwa mengine yanatuua sana vijana
 
Sijaona sababu yoyote ile ya Wewe kuanza kutokwa na Mapovu yote haya sana sana naona ni kama vile Uwendawazimu unaanza Kukupigia hodi.
 
#Update


Uzi mnaujaza na'comment zenu zakubishana mambo yakipuuzi kabisa

Moderator kuwe na bandiko mahususi kwaajili ya mabishano na malumbano....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…