TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Kwa hiyo hili jina la Mwegelo ni la baba wa kufikia?
Wanachanganya sana hawa jamaa!!! Huyu mzee nimeshawahi kumuona kipindi tunasoma O-Level... alikuja kumtia discipline mwanae mbele ya kadamnasi!!

Yule mshikaji alikuwa anatumia jina la Magavila, huyu Jokate anatumia Mwegelo... basi taabu tupu!!!
 
Leo tena Mc Pilipili kapoteza Mama Mzazi, wacha tuendelee kupata taarifa zaidi.
Hayo yote ni umri. Watu wengi wakifikia miaka 70, huwa wanakuwa na matatizo mengi ya kiafya. matatizo ya kiafya katika umri huo high blood pressure, diabetes, cholesterol, arthritis, asthma, GERD, na mengineyo.Ukiwa na magonjwa kama high blood pressure na diabetes ni rahisi kukumbwa na kiharusi. Nafikiri wakati mnaongelea hili mnakumbuka Pius Ng'wandu aliyefarika jana huku kwao Simiyu. Kufa ni sehemu ya safari zetu, cha muhimu kuwapa pole wahusika na siyo muda wa kuwachambua.
 
Hayo yote ni umri. Watu wengi wakifikia miaka 70, huwa wanakuwa na matatizo mengi ya kiafya. matatizo ya kiafya katika umri huo high blood pressure, diabetes, cholesterol, arthritis, asthma, GERD, na mengineyo.Ukiwa na magonjwa kama high blood pressure na diabetes ni rahisi kukumbwa na kiharusi. Nafikiri wakati mnaongelea hili mnakumbuka Pius Ng'wandu aliyefarika jana huku kwao Simiyu. Kufa ni sehemu ya safari zetu, cha muhimu kuwapa pole wahusika na siyo muda wa kuwachambua.
Ni kweli Mkuu,
 
Mimi nina akili zinazonitosha mwenyewe kwa criteria zangu mwenyewe.I dont give a fvck what u think about my brain which belongs to me not you!

Wewe unadhani mtu akifiwa ndio ajabu sana?

Who cares kafiwa nani na nani?

Kafiwe huko,sio ajabu,umefiwa kama wanadamu wengine,na mimi binafsi siwezi kuku-treat any different au special..

Fiwa huko,hata sisi tunafiwa,who cares?

Sijamuita,akafie huko,nimuite nimpeleke wapi na approve nini kwangu?

Nimesema akiongea chochote for whatever reason simsikilizi kwa chochote,nafata nilichofikia conclusion kwenye ubongo wangu mwenyewe!

Who cares wewe kua dissapointed?

Tena I wish uwe dissapointed zaidi na zaidi,tena I wish niwe hata na haki ya kuku-provoke kabisa.

Wewe kua dissapointed na mimi is the music to my ears!

Die motherfvker,go to hell and tell Jesus I said hi,mwambie arudi tumsulubishe tena mara ya ....
 
Nani amekuambia Wyatt sio ya Kiafrika?

Una forensic audit machine ya kupita hili jina ujue halina Uafrika ndani?
Kwamba wyatt lina chimbuko Afrika😀😀. Unaanza kutafuta pa kutokea baada ya wenye vichwa kukubana.. Kubali ulichokiita upuuzi na ubishoo kwa Jokate ndo ulichokifanya kwa ID yako.. Jifunze kutoongea sana coz kuna mambo unakurupuka nayo mwisho wa siku utafanya tuwaombe Jf watuwekee ile option ya kuprove kuwa mtumiaji sio robot ukiwa una sign in..
 
#Update

PICHA 10: Kutoka Msibani kwa Baba Mzazi wa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Ndunguru, hizi ni picha za baadhi ya Watu waliofika kumfariji Jokate na Familia yake, baadhi ya waliofika ni DC Gondwe, Mwenyekiti-UVCCM Taifa,Kheri James, Meja Jen. Mbuge na wengine.
millardayo_10-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_9-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_8-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_7-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_6-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_5-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_4-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_3-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_2-___CJBLBFEgEHB___-.jpg
millardayo_1-___CJBLBFEgEHB___-.jpg


Chanzo Cha habari- Millardayo
 
Wanachanganya sana hawa jamaa!!! Huyu mzee nimeshawahi kumuona kipindi tunasoma O-Level... alikuja kumtia discipline mwanae mbele ya kadamnasi!!

Yule mshikaji alikuwa anatumia jina la Magavila, huyu Jokate anatumia Mwegelo... basi taabu tupu!!!
Duh,mama zetu hawa balaa sana
 
Ni kweli nilikuwa chuo kikuu miaka ya 70, lakini siyo Mlimani.

Hongera sana mzee.. nipo early 30s... nafurahi sana kuona wazee mna afya njema.. muwe mnatupa ushauri vijana mambo ya kufanya ili tuishi kama nyinyi.. maana mnatuonea aibu kutuambia ukweli mtaani ukimwi na magonjwa mengine yanatuua sana vijana
 
Jamani, kwanza mwenzenu kafiwa, sasa haya ya kuhoji sijui baba, sijui matrilineal/ patrilineal, sijui ni baba, sijui eti ni baba wa mkubwa. Tumfariji huyo binti na kumuombea aweze kumaliza matanga na kuendelea na maisha. Sijui ninyi mnaohoji hayo mengi mngekuwa nyie mnahojiwa wakati "your loved one" amefariki mngekuwa mnafikiria vipi. Be sensitive to other peoples problems.
Urban Ndunguru hakutangazwa kwa sababu binti yake ni mkubwa serkalini. Mimi namfamu Ndunguru ni rafiki yangu na classmate (1970-1971). Tulikuwa pamoja Tanga High School. Mliosoma UDSM bila shaka mnawafahamu wake na Prof Nditi, Prof Malekela, na wengineo wote tulikuwa Tanga High School miaka hiyo. Marehemu ni retired Senior Civil Servant (Foreign Service) na ametumikia taifa nyumbani na nje ya nchi. Kama humfahamu, wewe nyamaza tu kuliko kusema yale ambayo hayapo. Tuipe pole familia na tuache kuleta utani katika maswala ya kufiwa. It is not easy and this is not the time to go around scoring anything. All it shows is what kind of a person you are. Very thick skinned not worth to be called a gentle man or a lady.
Sijaona sababu yoyote ile ya Wewe kuanza kutokwa na Mapovu yote haya sana sana naona ni kama vile Uwendawazimu unaanza Kukupigia hodi.
 
#Update


Uzi mnaujaza na'comment zenu zakubishana mambo yakipuuzi kabisa

Moderator kuwe na bandiko mahususi kwaajili ya mabishano na malumbano....
 
Back
Top Bottom