TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Wacha wee?

How the fvck do you know?

Au kwavile nimeuliza swali gumu watu wanaloogopa kuuliza sababu Jokate Kafiwa na Baba?

Who cares nani kafiwa na nani?

As if kufiwa kunakupa pass yakua untouchable?

Afweee
Ha ha ha daaah[emoji23]
 
Kuna majuha yanabishana kuhusu majina, upumbavu ulokithiri. Kukariri maisha na kukosa exposure ni shida. Rais Museveni ana watoto watatu, lakini hakuna hata mmoja anayetumia jina la Yoweri au Museveni. Wa kwanza ni maarufu anaitwa Muhoozi Kaienerugaba. Jina ni kitu mtu anaweza kuamua kujiita lolote. Hata leo unaweza kwenda mahakamani ukaapa uitwe jina tofauti. Pia unaweza kuta jina Mwegelo likawa moja ya majina ya baba ya kati ambayo wao ndo wanayajua. Kwani mnayajua majina yote ya ababa yake? Kuna watu wana majina hata sita ya kati.
 
Duh Pius Ng'wandu naye kafariki? Alioa siku kadhaa zilizopita. Apumzike kwa Amani!
 
Duh,mama zetu hawa balaa sana
Sio kama unavyofikiri ndugu. Watoto wako kama sita kwenye familia yao, baba na mama huyo huyo. Ni jinsi walivyoamua kuwapa majina tu.
 
Mchagga gani mropokaji hivi
 
Wewe siyo Mchagga, labda uwe ulificha utambulisho wako halisia ulipokuwa unajiandikisha JamiiForums. Kumbuka kuwa hata kama JamiiForums ilikuwaahidi confidentality, but there is no guarantee of it. Details zako zinafikiwa easily and anytime. Tulipoenda huko tulikuta wewe si Mchagga, ukibisha toa ruksa tutoe jina lako hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…