Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Aliyekuambia amekudanganya... Nchimbi na Nyoni ni koo mbili tofauti...Ndyo ivo, unabisha nn wakati me najua. Heeh wee lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuambia amekudanganya... Nchimbi na Nyoni ni koo mbili tofauti...Ndyo ivo, unabisha nn wakati me najua. Heeh wee lol
Kwan me ndo sjui, bibi yangu ni nyoni, naelewa vzur kuhusvhlo, ila tufany umeshnda wee,Aliyekuambia amekudanganya... Nchimbi na Nyoni ni koo mbili tofauti...
Hizo raha kwani angeenda nazo kaburini?
Sio ajabu mkuu uliza makibila mengine mathalani wanyakyusa wana system hiyo.Aisee..! Yatakuwa Makabila ya ajabu sana hayo.
90 mkubwa, sikuwa nafahamu mkuu mwaka wake wa kuzaliwaZuhura Othman Soud a.k.a Zuchu aliyezaliwa mwaka 1990 ni katoto kadogo?
Mbona unawashwa sana?Whoever she dates is none of your business. If older women date younger men, what is wrong with dating older men. Au unaona wivu wa kumkosa?
Ha ha ha daaah[emoji23]Wacha wee?
How the fvck do you know?
Au kwavile nimeuliza swali gumu watu wanaloogopa kuuliza sababu Jokate Kafiwa na Baba?
Who cares nani kafiwa na nani?
As if kufiwa kunakupa pass yakua untouchable?
Afweee
Duh Pius Ng'wandu naye kafariki? Alioa siku kadhaa zilizopita. Apumzike kwa Amani!Hayo yote ni umri. Watu wengi wakifikia miaka 70, huwa wanakuwa na matatizo mengi ya kiafya. matatizo ya kiafya katika umri huo high blood pressure, diabetes, cholesterol, arthritis, asthma, GERD, na mengineyo.Ukiwa na magonjwa kama high blood pressure na diabetes ni rahisi kukumbwa na kiharusi. Nafikiri wakati mnaongelea hili mnakumbuka Pius Ng'wandu aliyefarika jana huku kwao Simiyu. Kufa ni sehemu ya safari zetu, cha muhimu kuwapa pole wahusika na siyo muda wa kuwachambua.
Sio kama unavyofikiri ndugu. Watoto wako kama sita kwenye familia yao, baba na mama huyo huyo. Ni jinsi walivyoamua kuwapa majina tu.Duh,mama zetu hawa balaa sana
Mmh!!Sio kama unavyofikiri ndugu. Watoto wako kama sita kwenye familia yao, baba na mama huyo huyo. Ni jinsi walivyoamua kuwapa majina tu.
Kwa hiyo wewe uko rika moja na akina mzee wa Msoga? Shikamoo bro!Marahaba..
Mchagga gani mropokaji hiviMkuu
Nilishasema sisikilizi any reason from anywhere!
Mwanadamu hakosi reason yeyote kujitetea
I trust only my brain...na akili yangu inanitosha mimi pekee yangu binafsi
Nimesoma na wanawake majina yao ya ukoo ni NDUNGURU na still last time I checked ni wanawake kama Jokate
Plus,kaka yake hatumii jina NDUNGURU anywhere na last time I checked ni mwanaume!
These kids are confused,ubishoo umewazidi,ndio maana yanafeli kila mahali!
By the way kabila langu mimi Mchagga,its crazy....I talk shit ma nigga....
Too bad I cant change,nisamehe tu!
Huna hata ujasiri wa kutukana, dalili ya kua ulitumikishwa sana kingono utotoni.. Tukana kwa ujasiri kila mtu aelewe sio unauma uma mdomoWachagga miungu wako sana eeee?Wape taqor basi
Ni kweli, Kikwete tulikuwa naye. Pamoja kuwa tulikuwa darasa moja, lakini he was a few years younger.
Wewe siyo Mchagga, labda uwe ulificha utambulisho wako halisia ulipokuwa unajiandikisha JamiiForums. Kumbuka kuwa hata kama JamiiForums ilikuwaahidi confidentality, but there is no guarantee of it. Details zako zinafikiwa easily and anytime. Tulipoenda huko tulikuta wewe si Mchagga, ukibisha toa ruksa tutoe jina lako hadharani.Mkuu
Nilishasema sisikilizi any reason from anywhere!
Mwanadamu hakosi reason yeyote kujitetea
I trust only my brain...na akili yangu inanitosha mimi pekee yangu binafsi
Nimesoma na wanawake majina yao ya ukoo ni NDUNGURU na still last time I checked ni wanawake kama Jokate
Plus,kaka yake hatumii jina NDUNGURU anywhere na last time I checked ni mwanaume!
These kids are confused,ubishoo umewazidi,ndio maana yanafeli kila mahali!
By the way kabila langu mimi Mchagga,its crazy....I talk shit ma nigga....
Too bad I cant change,nisamehe tu!
Ni maiti tu haiwezi kuwashwa!Mbona unawashwa sana?