TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia


Toka shule ya msingi olimpio.. jokate anaitwa jokate mwegelo... je ubishoo na u sister du aliuanza toka wakati anaandikishwa darasa la kwanza? Jina aliandikishwa na wazazi wake.. yeye ameendelea kulitumia maana ndilo Lipo kwenye vyeti vyote.. baba yake sio mjinga kumuandikisha mwegelo
 
Hiyo kitu ilikuwepo usibishe mkuu sema siku hizi inaenda inafutika
 
So dunia nzima ndunguru ni yeye tu,huo ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Yawezekana ikawa ni kweli unachokisema ila mimi nilimaanisha kupata ukweli wa hili jambo kutoka kwa credible sources has familia yake (mama yake na wtu wengine wa karibu) siyo kwa watoto wenyewe.
 
Mbona hujinasibisha mngoni kumbe watu huwa hawapendi makabila yao madogo yajulikane
Siwalaumu kwa hilo. Ngoni limeyameza makabila yote madogo ya songea na mbinga ,Wamatengo,Wanyasa,Wamanda ,wapangwa .Hata lugha wanayoongea ni hiyo hiyo.Muulize mtu wa hayo makabila yeye kabila gani atakwambia ni mngoni
 
mkuu kuyataja maeneo hayo, hakumaanishi kuwa umeishi au umefika.
point hii kitu haipo kule.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Inaonekana unapenda mashindano,nimemaliza darasa la 7 Mtwara (Naliendele,Ligula,Vigaeni,Magomeni,Mikindani,Chuno,Chikongola kote nakufahamu )

Umesoma hizo biography za Mkapa na Membe ?

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Siwalaumu kwa hilo. Ngoni limeyameza makabila yote madogo ya songea na mbinga ,Wamatengo,Wanyasa,Wamanda ,wapangwa .Hata lugha wanayoongea ni hiyo hiyo.Muulize mtu wa hayo makabila yeye kabila gani atakwambia ni mgoni
Sidhani ka wamemezwa ni wao hawapendi kutaja makabila yao na kujificha kwa wangoni vile wanajulikana Sana
 
Qallu innallillah wa inna illahi Rajiunna.
 
Umenena vema mkuu Nahonyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…