TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!

Toka shule ya msingi olimpio.. jokate anaitwa jokate mwegelo... je ubishoo na u sister du aliuanza toka wakati anaandikishwa darasa la kwanza? Jina aliandikishwa na wazazi wake.. yeye ameendelea kulitumia maana ndilo Lipo kwenye vyeti vyote.. baba yake sio mjinga kumuandikisha mwegelo
 
Hivi hii habari mnaitoaga wapi, mtoto aliezaliwa nje ya ndoa, alafu Baba akamkataa, ndiye mama anaweza kuamua kumuita kwa ubini wa kwao, siyo kwa kila mtoto.
Tusiandika vitu vya kusadikika wakati siku hizi wanasema Dunia ni kijiji hivyo Tanzania ni kama Kitongoji tu.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hiyo kitu ilikuwepo usibishe mkuu sema siku hizi inaenda inafutika
 
Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima
So dunia nzima ndunguru ni yeye tu,huo ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Mkuu

Naelewa unampa benefit of the doubt...i can see your concern

Ukimwambie ajieleze atakupa maneno meeengi na sababu kibao utaona mkweli

Ila mimi kama checkbobu,najua for sure hawa watoto jinsi walivyo mabishololo walilikimbia jina la Ndunguru,thats the fact huwezi nibadili

Ingekua majina makubwa kama Mkapa,Mushi,Massawe,Kikwete,etc wangetumia hawa wehu

I follow my insticts,sifati majibu yao hawa..hawakosi majibu hawa vichaa
Yawezekana ikawa ni kweli unachokisema ila mimi nilimaanisha kupata ukweli wa hili jambo kutoka kwa credible sources has familia yake (mama yake na wtu wengine wa karibu) siyo kwa watoto wenyewe.
 
Mbona hujinasibisha mngoni kumbe watu huwa hawapendi makabila yao madogo yajulikane
Siwalaumu kwa hilo. Ngoni limeyameza makabila yote madogo ya songea na mbinga ,Wamatengo,Wanyasa,Wamanda ,wapangwa .Hata lugha wanayoongea ni hiyo hiyo.Muulize mtu wa hayo makabila yeye kabila gani atakwambia ni mngoni
 
mkuu kuyataja maeneo hayo, hakumaanishi kuwa umeishi au umefika.
point hii kitu haipo kule.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Inaonekana unapenda mashindano,nimemaliza darasa la 7 Mtwara (Naliendele,Ligula,Vigaeni,Magomeni,Mikindani,Chuno,Chikongola kote nakufahamu )

Umesoma hizo biography za Mkapa na Membe ?

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Siwalaumu kwa hilo. Ngoni limeyameza makabila yote madogo ya songea na mbinga ,Wamatengo,Wanyasa,Wamanda ,wapangwa .Hata lugha wanayoongea ni hiyo hiyo.Muulize mtu wa hayo makabila yeye kabila gani atakwambia ni mgoni
Sidhani ka wamemezwa ni wao hawapendi kutaja makabila yao na kujificha kwa wangoni vile wanajulikana Sana
 
Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).

DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.

Chanzo Cha habari-Millardayo
Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).

DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.

Chanzo Cha habari-Millardayo
Qallu innallillah wa inna illahi Rajiunna.
 
Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.

Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Umenena vema mkuu Nahonyo.
 
Back
Top Bottom