TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Utakuwa na stress za maisha weww sio bure
Au la una stress za ndoa
 
Rip mzee wetu

I only have good memories of you
 
Why so much hate?

Jina lako lenyewe hapa Ni slave name

Tuliza mshono
 
Pengine wazazi walikuja kutengana (sina uhakika) au ni migogoro tu ya kifamilia ndio imempa mtazamo hasi, ila sio mambo ya single mother. Baada ya habari hii nimemuona na mama yake na nimevuta kumbukumbu ya hii familia mitaa ya Ada estate na kanisa la St Peter's.
 
Huyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
 
Mwegelo ni Ndunguru. Kusini makabila yanatumia majina haya kwa wanawake mfano Komba ni Nakomba.
Mbunda ni Nyiwolelu.
Haule ni Nyamalongo Nk. Kama angekua anaitwa mfano Jokate Haule angeweza kuwa Jokate Nyamalongo ni kitu hiko hiko.
Huu ni utamaduni wa huko iko hivyo.

Jamiiforum hata kama watu hawajui kitu wanaeza kujifanya wanajua hii hapa ya kwanini anatumia Mwegelo wakati ni Ndunguru wengi wanapotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…