TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Utakuwa na stress za maisha weww sio bure
Au la una stress za ndoa
 
Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).

DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.


Update

Mwili wa Baba Mzazi wa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru unatarajiwa kuagwa Jumatatu December 21,2020 katika Kanisa la St Peters DSM, kisha kusafirishwa Jumatatu hiyohiyo kwenda Mbinga Mkoani Ruvuma.


Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumanne December 22, 2020, katika kijiji cha Tanga, Mbinga. Mzee Ndunguru amefariki Alfajiri leo Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda baada ya kupata Kiharusi (Stroke)

#RIPMzeeNdunguru







Chanzo Cha habari-Millardayo
Rip mzee wetu

I only have good memories of you
 
Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Why so much hate?

Jina lako lenyewe hapa Ni slave name

Tuliza mshono
 
Kuna kipindi nilisoma article ya Jokate katika gazeti akielezea maisha yake. Moja ya jambo jokate aligusia ni swala la kulelewa na mama yake zaidi na kuwa hakuwa katika mahusiano sababu aliona experience ya mama yake na baba yake jambo ambalo hakuwa tayari kufunguka.

So from then nikajua tu hii ni kesi ya single mother kumjaza binti sumu. Sasa tangu lini mtoto atumie jina la mama yake na baba yupo?!

Mimi nijuavyo ni kuwa mama hata kama una ugomvi na mwenzako haimaanishi mtoto ataacha kuwa damu moja na baba yake, kumkana baba wa mtoto na kumjaza mtoto sumu kumhusu baba yake huwa haileti matokeo mazuri.

Mama toxic ni mbaya mara mbili ya baba asiyewajibika kwa mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine wazazi walikuja kutengana (sina uhakika) au ni migogoro tu ya kifamilia ndio imempa mtazamo hasi, ila sio mambo ya single mother. Baada ya habari hii nimemuona na mama yake na nimevuta kumbukumbu ya hii familia mitaa ya Ada estate na kanisa la St Peter's.
 
Brother

Wewe unatoa toa tabasamu na meno nje,mimi unfortunately I do none of that shit.

Im sorry aisee
Screenshot_20200805-145513_1.jpg
 
Tatizo ni kwamba umeanza tu kuhukumu hata kabla ya kufatilia kujua ni kwa nini anatumia jina hilo.
Au una ugomvi naye nini? Maana ulivyomshambulia kama nyuki.
Usijisahaulishe kuwa, hata majina ya kwenye cheti cha kuzaliwa nayo pia ni ID vile vile. Lengo la jina ni ili kurahisisha utambuzi (identification).
Na kisheria mtu anaweza kubadilisha jina lake na kutambuliwa (identified) rasmi kwa jina lake jipya.
Sasa shida ni nini? Yaani jina tu umshambulie mtu kupita kiasi, Je angeua Twiga je? Si ndo ungemlipua kwa grenade na C4 kabisaaaaa.

#Logic #Reasoning
Huyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
 
Brother

No ID hapa ni jina halisi la mtu....

Naweza jiita MAVI kama ID,sio jina langu,ni internet fake name mzee

Hoja yako ya ID ni hovyo maana tuna deal majina ya uongo humu

Mimi ni traditionalist,Jokate kutokutumia jina la NDUNGURU ni kosa kwangu mimi

Unakwepaje kwenu?Ili tu usionekane ni mtu wa kusini ambapo ni kwenu na ndio asili ya uzao wako na mababu zako?

Siwezi samehe mamaeeee zenu
Mwegelo ni Ndunguru. Kusini makabila yanatumia majina haya kwa wanawake mfano Komba ni Nakomba.
Mbunda ni Nyiwolelu.
Haule ni Nyamalongo Nk. Kama angekua anaitwa mfano Jokate Haule angeweza kuwa Jokate Nyamalongo ni kitu hiko hiko.
Huu ni utamaduni wa huko iko hivyo.

Jamiiforum hata kama watu hawajui kitu wanaeza kujifanya wanajua hii hapa ya kwanini anatumia Mwegelo wakati ni Ndunguru wengi wanapotosha.
 
Back
Top Bottom