TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).

DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.

Update

Mwili wa Baba Mzazi wa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru unatarajiwa kuagwa Jumatatu December 21,2020 katika Kanisa la St Peters DSM, kisha kusafirishwa Jumatatu hiyohiyo kwenda Mbinga Mkoani Ruvuma.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumanne December 22, 2020, katika kijiji cha Tanga, Mbinga. Mzee Ndunguru amefariki Alfajiri leo Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda baada ya kupata Kiharusi (Stroke)

#RIPMzeeNdunguru

Chanzo Cha habari-Millardayo
RIP Classmate (Tanga School 1970-71).
 
  • Thanks
Reactions: Auz
ipo hivi hawa ni wamatengo kawaida yao ukoo wa ndunguru watoto wa kike hutumia jina la mwegelo so kwa wamatengo ndunguru na mwegelo ni jina moja

Why mdogo wake mwingine wa kiume anaitwa martin kolikoli.. sure name ya koli koli ina maana gani kimatengo
 
Wakubwa wengi nchini tena wa ngazi mbalimbali wanafiwa sana na Wazazi wao natamani kujua kwanini DC huyu kapata Media Coverage Kubwa.
Jamani, kwanza mwenzenu kafiwa, sasa haya ya kuhoji sijui baba, sijui matrilineal/ patrilineal, sijui ni baba, sijui eti ni baba wa mkubwa. Tumfariji huyo binti na kumuombea aweze kumaliza matanga na kuendelea na maisha. Sijui ninyi mnaohoji hayo mengi mngekuwa nyie mnahojiwa wakati "your loved one" amefariki mngekuwa mnafikiria vipi. Be sensitive to other peoples problems.
Urban Ndunguru hakutangazwa kwa sababu binti yake ni mkubwa serkalini. Mimi namfamu Ndunguru ni rafiki yangu na classmate (1970-1971). Tulikuwa pamoja Tanga High School. Mliosoma UDSM bila shaka mnawafahamu wake na Prof Nditi, Prof Malekela, na wengineo wote tulikuwa Tanga High School miaka hiyo. Marehemu ni retired Senior Civil Servant (Foreign Service) na ametumikia taifa nyumbani na nje ya nchi. Kama humfahamu, wewe nyamaza tu kuliko kusema yale ambayo hayapo. Tuipe pole familia na tuache kuleta utani katika maswala ya kufiwa. It is not easy and this is not the time to go around scoring anything. All it shows is what kind of a person you are. Very thick skinned not worth to be called a gentle man or a lady.
 
Aisee..! Yatakuwa Makabila ya ajabu sana hayo.
Hakuna kabila la ajabu. Kila watu wana taratibu zao za maisha na mila. Hakuna wenye nzuri au mbayo. Kumbuka, hakuna anayechaguwa kuwa kabila fulani. Hakuna nayechaguwa azaliwe na nani. Ninyi wote mna wazazi. Wengine mna wazazi matajiri, vilema, masikini, wakoma, wenye sura mbaya, wenye sura nzuri. Leo hii huwezi kusema sitaki huyu mzee au mama awe mzazi wangu. Je akija mtu akakuambia upungufu wa wazazi wako, utajifikiria vipi. Naomba kabla hatuijaandika na kuutuma ujumbe, tufikirie kama ujumbe huo ungekuwa unakuhusu wewe ungejifikiria vipi? In short hakuna kabila la jabu, huo uajabu unauona kwenye hilo kabila, nalo linaona uajabu wa kabila lako kutokuwa kama lao.
 
Jamani, kwanza mwenzenu kafiwa, sasa haya ya kuhoji sijui baba, sijui matrilineal/ patrilineal, sijui ni baba, sijui eti ni baba wa mkubwa. Tumfariji huyo binti na kumuombea aweze kumaliza matanga na kuendelea na maisha. Sijui ninyi mnaohoji hayo mengi mngekuwa nyie mnahojiwa wakati "your loved one" amefariki mngekuwa mnafikiria vipi. Be sensitive to other peoples problems.
Urban Ndunguru hakutangazwa kwa sababu binti yake ni mkubwa serkalini. Mimi namfamu Ndunguru ni rafiki yangu na classmate (1970-1971). Tulikuwa pamoja Tanga High School. Mliosoma UDSM bila shaka mnawafahamu wake na Prof Nditi, Prof Malekela, na wengineo wote tulikuwa Tanga High School miaka hiyo. Marehemu ni retired Senior Civil Servant (Foreign Service) na ametumikia taifa nyumbani na nje ya nchi. Kama humfahamu, wewe nyamaza tu kuliko kusema yale ambayo hayapo. Tuipe pole familia na tuache kuleta utani katika maswala ya kufiwa. It is not easy and this is not the time to go around scoring anything. All it shows is what kind of a person you are. Very thick skinned not worth to be called a gentle man or a lady.
Hongera miaka ya 70 upo university. Hakika umeona mengi. Mungu aendelee kukutunza uone hadi watoto wa vitukuu wako.
 
Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.

Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Huo utafiti sijui umeufanya lini. Yaani hili jambo kuonekana leo, tayari umekamilisha utafiti. Nadhani kama wewe kweli ni mtafiti umetumia "qualitative research approach" ambayo hutumia muda mrefu kuliko "quantitative approach". Au ulienda kwa watu wawili watatu na maswali, bila hypotheses na majibu yao yakakupa majibu ambayo wewe unaita "research results". Huo sio utafiti kaka! Na utafiti wa mila na taratibu za makabila zaidi ya 120 ya TZ hauwezi kuchukuwa siku mbili. Mimi nilisoma historia huko nyuma na huko Ruvuma na Songea, hata Morogoro (Waluguru) kuna makabila ambayo ni matrilineal. Ningekubaliana na wewe kama ungesema sasa hivi kwa sababu za mila za Kiulaya/Kikristu mila hizo zinafifia ningekubaliana na wewe.
 
Niliskia Mwegelo ni ubini upande wa mama ake

Hiyo ni possibility kwani nadhani Costa Urban Ndungulu had marital problems na mkewe hivyo ndio ikawa sababu ya binti kuchukua jina la umamamani!!! It is also possible kuwa huyo binti alimpata na mwanamke ambae hakumuoa kwani marehemu was quite a Casanova enzi ya ujana wake !
Costa was a retired career diplomat!!! He joined the foreign service after graduating from UDSM in 1975. He served in many stations including the U.S.
R.I.P comrade.
 
Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
This is unfair, too brutal, and totally unacceptable. Give the family some break.
 
Siyo mngoni ni mmatengo
Maybe, not too sure. some times I cannot differentiate between Mjita/Mkwaya/Mruri or Mkurya/Msimbiti. Sometimes differences among our tribes are based on a few letters in the language but we practically have more or less same practices!
 
Hiyo ni possibility kwani nadhani Costa Urban Ndungulu had marital problems na mkewe hivyo ndio ikawa sababu ya binti kuchukua jina la umamamani!!! It is also possible kuwa huyo binti alimpata na mwanamke ambae hakumuoa kwani marehemu was quite a Casanova enzi ya ujana wake !
Costa was a retired career diplomat!!! He joined the foreign service after graduating from UDSM in 1975. He served in many stations including the U.S.
R.I.P comrade.

Jokate kazaliwa marekani.. baba yake na mama yake walikuwa wanaishi marekani
 
Back
Top Bottom