kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
- Thread starter
- #41
:Ndungu yangu ktk case hii kuna siri nzito ambayo watu wengi hawaijui na kubaki kulaumu viongozi hasa kiongozi mkuu wa nchi, kiukweli hawa jamaa wanahusika katika case kuna ushahidi wa CD inayoonyesha hawa jamaa wakifanya jambo lile na kikubwa hawa jamaa walikua wakiandaa move ya X, sasa kilichomsaidia yule teacher na wale watoto wawili hawakuonekana ktk ile move, nimewapa kwa ufupi tu llkn kuna mlokongo mrefu ktk ile case..mengine nitawaambia next time wacha niendelee na majukumu mengine...
Prince Lugazo,karibu sana JF. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Funguka utuambie kile unachokifahamu au kukijua juu ya kesi hii. Sijajua kwa nini watu wanalihusisha tukio la kesi hii na huyo kiongozi uliyemtaja! Kwa maoni yako unafikiri ni kwa nini inasemekana kuna mkono wa kiongozi anayetajwa katika kesi hii?