Baba na Mwana watatoka lini gerezani?

Baba na Mwana watatoka lini gerezani?

:Ndungu yangu ktk case hii kuna siri nzito ambayo watu wengi hawaijui na kubaki kulaumu viongozi hasa kiongozi mkuu wa nchi, kiukweli hawa jamaa wanahusika katika case kuna ushahidi wa CD inayoonyesha hawa jamaa wakifanya jambo lile na kikubwa hawa jamaa walikua wakiandaa move ya X, sasa kilichomsaidia yule teacher na wale watoto wawili hawakuonekana ktk ile move, nimewapa kwa ufupi tu llkn kuna mlokongo mrefu ktk ile case..mengine nitawaambia next time wacha niendelee na majukumu mengine...

Prince Lugazo,karibu sana JF. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Funguka utuambie kile unachokifahamu au kukijua juu ya kesi hii. Sijajua kwa nini watu wanalihusisha tukio la kesi hii na huyo kiongozi uliyemtaja! Kwa maoni yako unafikiri ni kwa nini inasemekana kuna mkono wa kiongozi anayetajwa katika kesi hii?
 
Ndugu zangu kwanza case ile ilikua 2003 mwezi 9 tar- sina uhakika labda nitacheck maktaba kama nitaliona lile gazeti lenye habari ile maana nakumbuka nililinunua, so nitachek maktaba kwangu nitaliona tu...kwanza ilisemekana issue ilihusu wivu wa mapenzi kuwa papii alichukua dem wa huyo kigogo anaehusishwa na kashfa hii..sina haja kumtaja cozi kila mtu anaefuatilia issue hii anamfaham,lkn kiukweli muheshimiwa wa watu tunampakazia tuu,na sijui kwanini straight watu wakampoint yeye! but untrue..Ukweli uko hivi....Babu Seya alitaka kwenda kuishi Ufaransa, sasa wakati huo kuna mcongoman mmoja kutoka bend ya wajelajela huyu jamaa alikua anajiita mwehu..wale wa wakati ule watakua wanamfaham huyu bwana baada ya bend yake kupoteza umaarufu aliamua kutimkia Ufaransa maana yeye ndio alikua kiongozi wa ile band. Sasa Babu seya akamuuliza vipi na yeye anataka kwenda kufanya music Ufaransa vipi unalipa? akamwambia wacongoman walioko france sio wote wanategemea music,wanadeil zao nyinine music wanazugia tu. Ndo babu akapewa mchongo...daah...! najua mnaham ya kutaka kujua ukweli wa jambo hili msihofu nitawaeleza lkn kama mnavyoona kumekucha wacha nijiandae niende kwenye majukumu mengine..next time..
 
bdo,mimi binafsi niliyeanzisha uzi huu simfahamu wala sijapata kumwona nguza viking au mwanaye papii kocha ana kwa ana zaidi ya kuwaona kwenye tv au cd za muziki! Baba na mwana ni wasanii wa muziki waliokuwa wakiiburudisha jamii na bado wanatuburudisha kupitia tv na cd zao za muziki japo si kama wapenzi wa muziki wao walivyozoea!

Waswahili wanasema,"zimwi likujualo,halikuli likakwisha." ikumbukwe kuwa nguza viking na wanawe watatu wa kiume walisingiziwa kesi ya kulawiti na kuhukumiwa kifungo cha maisha! Lakini kwa msaada mkubwa wa kisheria toka kwa mwanasheria maarufu nchini mabere marando watoto wawili wa nguza waliachiwa huru!

Lakini wakati wa kesi ushahidi uliotolewa mahakamani uliwakandamiza kuwa walishirikiana na baba yao kuwalawiti wale watoto wa shule ya msingi huko sinza! Inasemekana kufungwa kwa nguza viking na wanawe kuna mkono wa mtu anayelipiza kisasi! Sijui labda kuna siku watatoka kwa msamaha wa rais!!

Haiingii akilini wala sipati/sioni logic kabisa katika kesi hii. Inawezekana vipi mtu na watoto wake wakawa wanalawiti kwa pamoja, hata kama wendawazimu. Yaani ukijaribu kutumia hata akili ndogo kabisa utagundua hapo kuna mkono wa mtu mkubwa ambao unalipiza kisasi.
 
Prince Lugazo, unadownload toka wapi hizi taarifa? Nina mashaka sana na si kidogo na ujio wako wa ghafla hasa katika uzi huu hapa JF!
 
:Ndungu yangu ktk case hii kuna siri nzito ambayo watu wengi hawaijui na kubaki kulaumu viongozi hasa kiongozi mkuu wa nchi, kiukweli hawa jamaa wanahusika katika case kuna ushahidi wa CD inayoonyesha hawa jamaa wakifanya jambo lile na kikubwa hawa jamaa walikua wakiandaa move ya X, sasa kilichomsaidia yule teacher na wale watoto wawili hawakuonekana ktk ile move, nimewapa kwa ufupi tu llkn kuna mlokongo mrefu ktk ile case..mengine nitawaambia next time wacha niendelee na majukumu mengine...

prince lugazo acha kupotosha kama wangetaka kucheza filam ya x wasingetumia watoto wa miaka 9 wangeweza kutumia madada poa. Mi bado nadhani kuna ukweli ambao umefichwa kuhusu hii kesi na siku moja utakuja kudhihirika. Wimbo wa salima ukiusikiliza vizuri nadhani unatudokeza ukweli fulani kuhusu hii kesi
 
Haiingii akilini wala sipati/sioni logic kabisa katika kesi hii. Inawezekana vipi mtu na watoto wake wakawa wanalawiti kwa pamoja, hata kama wendawazimu. Yaani ukijaribu kutumia hata akili ndogo kabisa utagundua hapo kuna mkono wa mtu mkubwa ambao unalipiza kisasi.

sure mkuu jamaa analeta siasa, ndio maana anakuja na ngonjera, kama swala ni mkanda wa x walitaka kurecod, sinza kuna wana wake wengi na wengine makahaba wasinge shindwa kuwatumia, pili sijawa kuona mkanda wa x ukiwashirikisha watoto wa miaka 8 na wenge miaka 50....nani ata nunua
 
Haiingii akilini wala sipati/sioni logic kabisa katika kesi hii. Inawezekana vipi mtu na watoto wake wakawa wanalawiti kwa pamoja, hata kama wendawazimu. Yaani ukijaribu kutumia hata akili ndogo kabisa utagundua hapo kuna mkono wa mtu mkubwa ambao unalipiza kisasi.

sure mkuu jamaa analeta siasa, ndio maana anakuja na ngonjera, kama swala ni mkanda wa x walitaka kurecod, sinza kuna wana wake wengi na wengine makahaba wasinge shindwa kuwatumia, pili sijawa kuona mkanda wa x ukiwashirikisha watoto wa miaka 8 na wenge miaka 50....nani ata nunua...
 
Kwa hiyo eeh Bwana, tunapokumbuka kifo na mateso ya huyo mwanao tunakutolea kikombe cha wakovu..... ili uweze kuwaokoa waonewao.. tunaomba haya kwa njia ya Kristo mwanao...............!

bwana alikufa, bwana alifufuka, bwana atakuja tena
 
hata kama inaonekana bwana mkubwa hausiki na hii kesi ya kina Nguza, tujiulize ni kwanini ni yeye ndo anatajwa kuhusika?
 
Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto wakifanya ngono na watu wazma huta haha kuitafuta uone maajabu..msichukulie vitu juu juu, au mnataka tusiseme ukweli ili muendelee kumchafua mkuu.!ivi sababu za kuwaachia wale watoto wawili zimetajwa? Kama zimetajwa nambie mi sijasikia kifungu kilichowaacha huru Mbangu na mdogo wake.?haya jamani hili tuachane nalo tujadili mengine..
 
sure mkuu jamaa analeta siasa, ndio maana anakuja na ngonjera, kama swala ni mkanda wa x walitaka kurecod, sinza kuna wana wake wengi na wengine makahaba wasinge shindwa kuwatumia, pili sijawa kuona mkanda wa x ukiwashirikisha watoto wa miaka 8 na wenge miaka 50....nani ata nunua...

Well said Mkuu.
 
Redio itakayopiga itafungiwa kwa uchochezi na kuhatarisha usalama wa nchi na kuingilia mambo ya ndani ya mkuu wa nchi na mkewe!
Mkuu huo wimbo wameimba akina nguza ama? vipi unao wewe mkuu? maana sijawahi usikia..!!!!
 
Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto wakifanya ngono na watu wazma huta haha kuitafuta uone maajabu..msichukulie vitu juu juu, au mnataka tusiseme ukweli ili muendelee kumchafua mkuu.!ivi sababu za kuwaachia wale watoto wawili zimetajwa? Kama zimetajwa nambie mi sijasikia kifungu kilichowaacha huru Mbangu na mdogo wake.?haya jamani hili tuachane nalo tujadili mengine..
Sasa mkuu unashindwa kutumia akili za kuzaliwa kwamba watakapo sema kuna mkanda wa watoto wadogo wakicheza ngono..na amongst the parties kwenye huo ni mkanda ni hao wanamziki wanaojulikana? huoni kwamba watakua wamejikamatisha fikiria nje ya box mkuu watanzania sasa hivi tunahoji vitu sio kama enzi hizooo...? maaana wakishaonekana wao ndo walikua wana act au kuwafanya watoto wadogo kesi yao ni kubwa maana..hiyo evidence kimsingi si ndogo sana kui rebut..unanisoma hapo mkuu? wacha siasa ongea facts, facts ambazo ni more probable sio tu mere speculations without any basis..over..!! pacta sunt servanda..!!!
 
Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto wakifanya ngono na watu wazma huta haha kuitafuta uone maajabu..msichukulie vitu juu juu, au mnataka tusiseme ukweli ili muendelee kumchafua mkuu.!ivi sababu za kuwaachia wale watoto wawili zimetajwa? Kama zimetajwa nambie mi sijasikia kifungu kilichowaacha huru Mbangu na mdogo wake.?haya jamani hili tuachane nalo tujadili mengine..

Mkuu tatizo watu wanapoliticise kila kitu.
 
Mkuu huo wimbo wameimba akina nguza ama? vipi unao wewe mkuu? maana sijawahi usikia..!!!!
Mkuu huo wimbo upo ila uwe makini unaweza kufunguliwa kesi ya ugaidi. Ameimba Nguza na wanawe. Tafuta kwa wauzaji wa cd, kaseti katika albam ya Seya. Wimbo huo unaitwa Salima. Sasa ukiondoa hiyo 'i' hapo ndipo penye tatizo ambapo unaweza kukuta unapelekwa Igunga kufunguliwa kesi ya ugaidi. Huo wimbo ulikuwa unapigwa sana katika vituo vya redio baada ya kesi na jamaa kufungwa ni kama na wimbo nao ulifungiwa lakini mitaani upo!
 
Wimbo huu yaelekea ni moto chini kama Sugu. Manake hata makamanda wa JF waliobobea katika kuweka mambo hadharani,wameshindwa kuuweka hapa barazani!
 
Back
Top Bottom