mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wamwachie bao lakeAachwe jamaa na bao lake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wamwachie bao lakeAachwe jamaa na bao lake!
[emoji23][emoji23][emoji23] hata dogo wa 7 yrs unamuogopaHapana. Mi hata sithubutu kuweka mazoea ya ukaribu sana na binti yangu wa miaka 7. Mi kauzungu kangu ni ka kuitwa daddy badala ya baba. Najiona bonge la mjanja uswahilini na kijijini
Shetani hana maana kabisa. Ana tabia mbaya sana...
Shida iko sehemu kubwa...Mkuu nipo tofauti na wewe kidogo, kwanini tulee watoto wetu kma wazungu ilihali sisi ni waafrika? kwanini mzungu halei mtoto wake kma mwafrika? Mbona wahindi wanamiaka kibao huku kwetu lkn wanalea watoto wao kwa culture ya kwao sisi weusi tuna shida sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hali bwana hiyo n pure love ...hapo no sex mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaaKila hatua huwa namna ya kumpa mapenzi mtoto yanabadilika, Binti wa kuolewa unaweza kukaa naye hivyo?
Hata kwa Kaka na dada ni ngumuKila hatua huwa namna ya kumpa mapenzi mtoto yanabadilika, Binti wa kuolewa unaweza kukaa naye hivyo?