Baba niruhusu nizae

sitaki kuolewa na kitunguu maji. kile hivi mtu hajui maisha nini si kwamba ni mtoto mdogo ni mtu mzima na hana familia wala mtoto ila majukumu hataki wa nini sasa.
Kamua kula maisha tu 😊 usikute ulimlengeshea ili akuoe.
 
Uko sahihi ni afadhali yenu wanawake ukitaka mtoto ni rahisi hasa kama huna matatatizo ya uzazi ila kwetu wanaume ikikutokea unaweza kuzeeka bila mke wala mtoto maana hakuna hata mwanamke anaekubali kukuzalia mtoto hata akipata mimba yako anaitoa
 
sitaki kuolewa na kitunguu maji. kile hivi mtu hajui maisha nini si kwamba ni mtoto mdogo ni mtu mzima na hana familia wala mtoto ila majukumu hataki wa nini sasa.
Huwez kuolewa na kitunguu maji kile ila ulimvulia chupi na kumpanulia mapaja na ukapokea shahawa zake na ukamzalia 😂 akili za wanawake bhana 🙌
 
Yani dingi unajua mpaka makoloni ya binti yako. Hii chai umeongeza sana viungo.
 

Acha kuingiza stori za kusadikika kwenye mambo halisia.

Hao kina sara waliozaa na miaka 90 wa kwenye biblia ni fictional character. Huku mwenzake ni real person na tatizo lake ni halisia.

Mfano biblia imeandika nyoka anaongea.. wewe na akili zako unaamini ni kweli kuna nyoka ambaye anaongea ?

Hakuna mtu halisia aliyezaa na miaka 90 zaidi ya hizo hadithi za kwenye biblia
 
Yaani unalia as if uchi ni wako?
 
Mimi nafikiri wengi tunaishi bila purpose ( kusudio) .

Kusudio la kuumbwa kwako ni nini!?, Unamatarajio gani na Hilo kusudio lako!?. Hatuwezi kukwepa kuhuzunika lakini ukiwa na lengo ambalo upo tayari kulitimiza, hata usipokuwa na ndoa Wala mtoto haikuumizi sana kichwa.

Mwanamke hakuumbwa kwaajili Moja tu ya kuolewa na kuzaa, kwa Imani yangu lengo lake kuu ni kumuabudu mola wake, akiitengeneza nafsi yake na moyo wake kwamba ndoa na watoto huja kma ziada lakini lengo kuu ni Hilo basi moyo haupati tabu kubwa na unakuwa na amani hata kma utafikisha 30+ bila ndoa Wala mtoto.

Lakini nafsi ikishakaa hapo nataka ndoa , nimekosa ndoa nizae tu, unajikuta unachezewa na wengi, watakuja na gia ya ndoa baada ya hpo haoo wanasepa.
 
Ni sawa. Azae, tayari umri ushaenda sana. Jioni kwake ishafika. Na after all ni mtu mzima kama wewe. Period!!
 
Moja ya tatizo kubwa la binadamu ni kutafuta dosari kwenye kila kitu,basi tambua yafuatayo:
1.mimi ni suriyama wazazi wangu mmoja alikuwa mtanzania na mwingine anatokea ulaya na makuzi yetu,tumelelewa kwa tamaduni mbili
2.huyo mwanangu hakuwa anachagua watu wenye kipato na ndio maana kaamua kuzaa ni mtu ambae uwezo wake ni mdogo sana
3.ukaribu wangu na mwanangu una mipaka,sio kwamba namtawala au namregulate,la niko nae karibu sana lakini with limitations
4.japo amesoma vizuri lakini ni mwanamke mwenye heshima na nidhamu ya juu sana na namjivunia sana
 
NDOA si shida, shida ni kuiishi hiyo NDOA. Ishi namna hiyo ikibidi ili uepuke kuwa Mwanafalsafa wa WANAUME WOTE NI MBWA hapo baadae.
 
Uko sahihi ni afadhali yenu wanawake ukitaka mtoto ni rahisi hasa kama huna matatatizo ya uzazi ila kwetu wanaume ikikutokea unaweza kuzeeka bila mke wala mtoto maana hakuna hata mwanamke anaekubali kukuzalia mtoto hata akipata mimba yako anaitoa
Ndo hivyo ndugu yangu dunia hii haijawahi kuwa na usawa unaepata hili anakosa lile. ila bado watu hataacha kukunyoshea kidole utafikiri wao hawana makosa. kikubwa ni kutokuwajali na kufanya kile unaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…