Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
Karibu baba swalehe, kumbe na hiyo pia ni ID yako! Karibu mkuu, tuko salama kabisa.