Baba v una taarifa hii ya bishanga na zahra white?????????

Baba v una taarifa hii ya bishanga na zahra white?????????

Asavali umemjibu
ukiona wanaume wenzio wakisutwa wewe unfurahi kweli kweli nakuangalia sana wewe wiki ilee inayokuja ya nin kumficha ndani sweetlady kisa wivu wakuibiwa utakiona moto ntakaokuwashia humu
 
Last edited by a moderator:
Kuwa wapo outing na hujaalalisha ndoa yao wala taarifa huna?amekuwa msaliti kwa wakeze mpaka wameanza kuomba na kulialia barabarani jana nimemsghuhudia The secretary akilia kwa uchungu kuhusu huyo bishanga sasa hivi nimetoka PM manoah anaomba nimkopeshe baba yake akirudi atanirudishia!!eti akitoka kubanjuka tu !!nimesikitika sana

1.Je Baba V umekula rushwa?

2. Je uongozi wa ccb umekushinda??
3.Toa tamko naukishindwa basi uachie ngazi tumpe mtu mwingine.kama yule wa miss cc alivyoachia .

4. Bishanga amekuwa na nidhamu chafu jamvini yakuchimba chimba rupia na hamna siku umemwajibisha au kwasababu nitagiri la kihaya?
5.Ni mzee ila anaharibu vitoto vidogo na umemfumbia macho

kwa niaba ya wana cc nawakilisha ,atakayefuata ni Arushaone namwangalia mwenendo wae ndoa haijatangazwa kimbelembele kingi!
mjini majungu ndio mitaji yetu no CPA,CPE,BACHELA ,PHD,MASTA huu ndio mtaji kwa hiyo pliz pliz wana cc tusiharibiane biashara.

We mwana mbona unataka kukompliketi maisha yangu? Kha...! Unataka nianze kuzunguka kwenye magesti na daftari la wanandoa? Mwanaume anaruhusiwa kuoa idadi yoyote ya wanawake ili mradi awamudu. Huyo Bishanga na Zahara white hawajakiuka katiba ila wanahitaji kuja kwangu kuhalalisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nivea hiyo ni ilitakiwa iwe siri yako jamani!
hapa hata majirani wamejua sasa, hasa huyu Mamndenyi anatuombeaga njaa kweli
 
Last edited by a moderator:
Baba V tamko halitoshi hili umeona tuhuma ngapi unajibu kamoja!!!umebakiza masaa 12hrs usipotoa neno achia ngazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom