Baba v una taarifa hii ya bishanga na zahra white?????????

Asavali umemjibu
ukiona wanaume wenzio wakisutwa wewe unfurahi kweli kweli nakuangalia sana wewe wiki ilee inayokuja ya nin kumficha ndani sweetlady kisa wivu wakuibiwa utakiona moto ntakaokuwashia humu
 
Last edited by a moderator:

We mwana mbona unataka kukompliketi maisha yangu? Kha...! Unataka nianze kuzunguka kwenye magesti na daftari la wanandoa? Mwanaume anaruhusiwa kuoa idadi yoyote ya wanawake ili mradi awamudu. Huyo Bishanga na Zahara white hawajakiuka katiba ila wanahitaji kuja kwangu kuhalalisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nivea hiyo ni ilitakiwa iwe siri yako jamani!
hapa hata majirani wamejua sasa, hasa huyu Mamndenyi anatuombeaga njaa kweli
 
Last edited by a moderator:
Baba V tamko halitoshi hili umeona tuhuma ngapi unajibu kamoja!!!umebakiza masaa 12hrs usipotoa neno achia ngazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…