....What?
mmmh! Nime'give up Madame B utabaki moyoni mwangu Ben Saanane haya kaka
Madame B njoo huku nikukabidhi ATM. ............................... lakini uwapige chini hao wote
Madame B taarifa za acc zangu nimeshazirekebisha hazina shida kabisa.Hahaha!
Hebu nyoosha Kiswahili wewe.
Acc yako ina hela au unanikabidhi ikiwa empty!
Kwanza rekebisha taarifa zako za kibenki then unifate.
Ila,
CC: Ben Saanane na Chimbuvu.
Mie na yeye, ni mpaka kiama.
Wewe si ulileta ujuaji ktk mapenzi, sasa unakula jeuri yako mazee.
Chezea Madame B wewe!!!
Mie kama dhahabu mchangani.
Najua tt Ben Saanane akikosa umakamu rais, utambwaga puu!