Baba V: wa Mahusiano......Madame B nabwaga Manyanga kwa huyu.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Habarini za jioni Mabibi na Mabwana wa humu ChitChat.
Kiafya mimi ni Mzima na ninaendelea vizuri sana sana.
Kwako Baba V,
Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano Humu CC.
YAH: KUOMBA KUTENGUA NDOA YANGU NA Ndg: Arushaone.

Kichwa cha Habari Hapo Juu Chahusika,
Ndugu Mwenyekiti......kama utakumbuka kuwa nimekuwa nikikupigia simu kuhusu mtafaruku wa ndoa yangu na huyu aliyewahi kuwa Mume wangu Ndg: Arushaone, ni kuhusiana na Vipigo pamoja na Usaliti aliokuwa ananifanyia kila kukicha.

Mwenyekiti; nimekuwa nikipata vipigo pamoja na sintofahamu juu ya unakokwenda mshahara wake.
Wakati ananioa alinitamkia kuwa tutakuwa tunautumia mshahara wake tu,.....lakini siku hizi mambo na hali imebadilika sana, Pesa nikiomba sipewi na hata akinipa basi siku hiyo mtaa mzima watajua.
Hivyo sasa kwa Nakala hii ya Barua naomba mwenyekiti Uruhusu Ndoa hii ivunjike kwa Amani bila kutokea Uvunjifu wa Miili au mali.
Na Nitaomba baadhi ya nakala ya Barua hii iwafikie waume wake wenza aliowaacha kwenye Ndoa ambao ni Chimbuvu (huyu nae ana hati hati), Ben Saanane (huyu mpya), tedo na Chilli........mbali na waliopita Ruhazwe JR, Ruttashobolwa, BOBY na Chibolo.......nyie nafasi zimejaa.
ASANTE SANA Mwenyekiti @Baba V

CC: Mamndenyi, Judgement na wahusika wote wa Screening.
Somo wangu gfsonwin, Kungwi wangu snowhite na Nyakanaga wangu Lisa.

Pia habari hii iwafikie Rafiki zake wooooote wa Humu CC, Kama mlivyokuja kulila Pilau siku naolewa nae..........basi na mje kulila tena siku naachika nae.
Mke Mwenza Blaki Womani.........yamenishinda mie, nabwaga manyanga.
CC: Bishanga, Bujibuji, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Nicas Mtei (kaka-binamu, yamenishinda), watu8 (shem yamenishinda) manoah, figganigga, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Chachu Ombara, sosoliso, Kimbweka (nakudai), Mentor (mdogo wangu), Mtambuzi (pole sana kaka), @amu, Paloma, Jesca, cacico (umeniponza), KOKUTONA (me n'shajitoa), Arabela (nawaachieni), mwaJ, Zinduna (pacha,takutana Zenji), charminglady (usifanye huo uamuzi, CC: kaka Nicas Mtei) Evelyn Salt (now niko free, tupambe jukwaa letu sasa), dada white, FirstLady, King'asti (mndee,..otate naneeee... turudi zetu TA tukalime vitivo vya viazi), Kipipi.
Na Wengineoooooooo.

NAFASI IKO WAZI KWA MAKAKA WA CC ANAYEJIONA ANA SIFA YA KUZIBA PENGO LA Arushaone, kwani ameniachia Mali za Kutosha.

Wanachama wenzangu wa MKODOBWE.COM, itabidi tukutane ili tumsindikize Arushaone kwao.
enough.jpg
 
najua unachonidai ni naniliu..... Leo njoo tumalizane kabisaaaa..................!
 
Madame B mbona husemi safari ya China ni lini?
Au limbwata la kishua la Ben Saanane lisha kumaliza nguvu yako ya maamuzi?
Maana naona sasa unagawa talaka kwa mume mmoja baada mwingine.

Hahaha!
Ben Saanane wangu sitampa wala naye hatanipa talaka.
Tumeshibana.
China nitaenda likizo ya mwezi wa 6.
Si unajua tena,ngale nyingi Bujibuji...
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa Leo tupo hapa Pub,katika stuli ya kaunta nikamuona Madame B anavua pete yake.nikaona ngoja nijongee karibu,nikamsogelea nikaketi karibu yake na kumuuliza jina lake.
Baada ya kilevi kumkolea akanijibu
'mimi Madame B sio mkimbizi lakini nimeacha kuishi kwa ndoto,nina njaa na kicheko,nipo tayari kwa chochote kitakachojiri'
kwenye kioo nikamuona Arushaone anakuja,akamsogelea Madame B huku sura yake ikiwa na uchungu.
Moyo ukalia paaa hapa nimeshikwa.
Arushaone alikuwa amenenepa,na kitambi kikubwa,shingo haionekani kwa unene,nikajiona kama nimekufa.
Ghafla akaanza kutetemeka na moyo wake ulioumizwa akaanza kumlilia madame B na kusema
'umeamua kuniacha wakati mzuri Madame B,umeniachia watoto wanne wenye njaa,na mazao hatujavuna mashambani,nimeshapitia mambo ya kuumiza lakini kwa hili Madame B moyo wangu hautapona umeuachia jeraha kubwa na kidonda milele Madame B .daima ntakukumbuka'
nikamuona Arushaone anaondoka huku akimwaga machozi
 
Last edited by a moderator:
Arushaone as known as King Mswati/Mswaki! Usife moyo, termination kwenye mitara ni kitu normal.
Btw Baba V naomba usimamie kabla Arushaone hajafungashiwa virago vyake wanirudishie Pasi yangu ya mkaa, waliniazima kua wangenyooshea kwa siku mbili , sasa ni mwezi. Halahala pasi yangu jamani.
 
Last edited by a moderator:
Week end utakuwa wapi leo njoo lenana hotel jioni.

Back
Top Bottom