Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Usilie ndugu yangu , haya ni maisha tu! Ngoja tukae as a probe commission , tuone wapi tukatafutie utulivu.
Futa tu machozi mdogo wangu.
Last edited by a moderator:
Eeeh bwana weee
Baba V hebu njoo utupe taarifa rasmi hapa...amu anasema kuwa ame m bwaga KakaKiiza... Hapa KakaKiiza anasema kuwa ame m bwaga amu............... nini ni nini? nani mkweli?
Usilie ndugu yangu , haya ni maisha tu! Ngoja tukae as a probe commission , tuone wapi tukatafutie utulivu.
Futa tu machozi mdogo wangu.
Judgement nina mkosi sana siku hizi! YNNAH umenipora, Vin Diesel kamchukua KOKUTONA,
Naye Madame B kanipa talaka, ah
Judgement nina mkosi sana siku hizi! YNNAH umenipora, Vin Diesel kamchukua KOKUTONA,
Naye Madame B kanipa talaka, ah
Nilikuwa Leo tupo hapa Pub,katika stuli ya kaunta nikamuona Madame B anavua pete yake.nikaona ngoja nijongee karibu,nikamsogelea nikaketi karibu yake na kumuuliza jina lake.
Baada ya kilevi kumkolea akanijibu
'mimi Madame B sio mkimbizi lakini nimeacha kuishi kwa ndoto,nina njaa na kicheko,nipo tayari kwa chochote kitakachojiri'
kwenye kioo nikamuona Arushaone anakuja,akamsogelea Madame B huku sura yake ikiwa na uchungu.
Moyo ukalia paaa hapa nimeshikwa.
Arushaone alikuwa amenenepa,na kitambi kikubwa,shingo haionekani kwa unene,nikajiona kama nimekufa.
Ghafla akaanza kutetemeka na moyo wake ulioumizwa akaanza kumlilia SASA MKUU kama Madame B akimtaliki mume anavua pete ya ndoa na kumrejeshea, kwa idadi ya hao waume si atakua na pete hadi kwenye vidole vya miguu?
Au?
Lov hivi Arusha one ana tatizo gani? Mbona kila sehemu ana mwagwa?