Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4)

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa familia hiyo, Emily Wanjiru, matapeli hao walimpigia Jonah simu na kujitambulisha kuwa ni wafanyakazi wa SHA, wakiahidi kumsaidia kujiandikisha kwenye mfuko huo ili kufanikisha malipo ya gharama za hospitali. Ili kukamilisha usajili huo bandia, Kariuki aliombwa kutoa kiasi cha fedha, kisha akadanganywa kutoa taarifa zake binafsi zikiwemo PIN ya M-Pesa

Matapeli hao walitumia taarifa hizo kuhamisha fedha zote kwenye akaunti ya M-Pesa ya Kariuki. Akizungumza na chombo cha habari cha Kenyans.co.ke, Jonah Kariuki alithibitisha kuwa fedha hizo ziliibwa, akifafanua kuwa awali waliomba KSH 20,500 lakini alikosea na kutuma KSH 200,500

“Ni kweli walinidanganya, nilipoteza KSH 200,000. Walikuwa wameomba KSH 20,500, lakini wakati wa kutuma, nilikosea nikatuma KSH 200,500,” alisema kwa masikitiko

Jonah amesema juhudi za kurejesha fedha hizo zimegonga mwamba baada ya matapeli kuzima simu zao na kufuta ujumbe wa muamala wa M-Pesa. Hivi sasa, amesema anashirikiana na mamlaka husika nchini Kenya ili kujaribu kurejesha fedha hizo, huku akiitaka jamii kuwa makini na matapeli wanaotumia maumivu ya waathirika kujinufaisha

===
onah Kariuki, father of Boniface Kariuki who was shot at close range by a police officer during Tuesday’s demonstrations in Nairobi, has revealed how he was conned Ksh.200,000 by scammers who promised to settle his son’s hospital bill.
In a press briefing, Jonah explained that the con-artist informed him to send Ksh.20,000, which was needed to aid in the registration process. Kariuki’s father gave out all the details, which enabled the scammers to access his bank account and steal Ksh.200,500.

Jonah revealed that he filed a report at the police station and investigations are underway to unearth the culprits.

“Kuna mtu alikuwa ameniambia nimpee Ksh.20,000 atanisaidia kwa bill lakini mwenye alituma akatuma Ksh.200,500. Nimechukua OB,” Jonah said.

During the briefing, Kariuki’s father revealed that the hospital bill had hit Ksh.1 million and was continuing to rise daily.

“We don’t have the actual bill, but the preliminary bill was placed at around Ksh.1 million and it is still going up.”

On Boniface’s status at the hospital, Emily Wanjiru, the family spokesperson, noted that he was still under life support.

The aggrieved family also called for the judicial system to dispense justice by convicting and sentencing the police officers responsible for the crime.

“No one has contacted the family, not homicide or the Independent Policing Oversight Authority (IPOA) and that’s why we decided to have a lawyer who can represent us even in court,” Wanjiru said.

“The left side (of Boniface Kariuki) can never come back to life as it is completely damaged. The brain capacity of a human being should be 15/15 but for our brother, it is 2/15.”

“Yesterday, there was a little bit of change, he can’t talk and we don’t know how his life will be after this. He is fighting for his life.”

Boniface Kariuki has undergone two surgeries at Kenyatta National Hospital to remove the bullet lodged in his head. He is currently recuperating at the Intensive Care Unit where he is receiving round-the-clock supervision.

​
Source: CITIZEN DIGITAL
​
 
Kijana kampa hasara baba yake,haya yote yasingetokea kama asingeenda kwenye maandamano
 
Mzee mwenyewe anaonekana mshamba mshamba,watu hata hawajuwi kama ana maumivu,kweli kufa kufaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…