Baba wa Kikwete alikuwa anasuka ukindu baada ya kustaafu uDC

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya.



Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao.
Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe).

N. B. Ndiyo maana marekani waliamua kuwa utajiri wa mtu uwe ndiyo sifa ya mtu kugombea urais.
 
Kila kitabu na zama zake.
 
NB ni muhimu hiyo
 
Maisha ni safari ndefu fainali ni uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…