Ven26
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 467
- 981
Kwa mtazamo wangu huo ni utafiti wa wazungu bana, kwa mfano ukija huku ukuryani wanavouana mara kwa mara, wanawake hawathaminiwi yaan mwanamke kukatwa kiungo kimojawapo cha mwili ni kawaida kabisa na wanaishi ni kwamba wooote wana matatizo ya akili?Tafiti lukuki zimeshaonyesha kwamba hukumu ya kifo haisaidii cho chote (is not a deterrent) katika kupunguza matukio ya mauaji ya kikatili. Ndiyo maana nchi nyingi zimeshaifuta au zinapambana kuifuta.
Matukio mengi ya kikatili hufanywa na watu ambao wana changamoto za afya ya akili; na tabia hizi huanza polepole. Mtu hakurupuki tu siku moja na kufanya matukio haya bali kunakuwa na pattern of behavior ambazo waathirika huziona na kuzipuuzia. Nchi nyingi wanawekeza katika kuimarisha huduma za afya ya akili kama mkakati mmojawapo wa kupambana na matukio haya ya kutisha.