Baba wa nyumbani!

Introduction ya kibabe sana...Hahah!
 
Ungesma Sheri Tu ningeamini Ila umeanza na kutaja majina kabisa.
Inaanza kua chai hii
 
Cha muhimu kafika majuu 🤣🤣
Story za vijiweni hizo kuongopeana..huyo mtunzi hajui kama humu kuna watu wengi wapo mamtoni?? Kupiga western country ni kosa kubwa sana iwe mwanamke mtoto au mwanaume,hata mwalimu wa shule hathubutu kumpiga mtoto Europe, sio kama bongo kutwa watu kutukanana mitaani ...Itakuwa Roja kaenda Uarabuni au Sudan.
 
Una uhakika kaka
 
SEHEMU YA TATU.
Baada ya kugombana pale sebuleni roja aliishia kulia na kuondola pale sebuleni huku akiambulia maneno ya dharau kutoka kwa familia ya mwanamke roja aliishia kuitwa nyani na familia ya mwanamke usiku ule roja aliondoka na kwenda kushinda pale sheli kwa rafiki zake pale nyumbani hakupatamani Tena aliishia kulala sheli tu na wenzie na akawaambia kilicho msibu na kilichomkuta Toka amekuja Uholanzi Ni balaa alizani akija ulaya mambo yatakuwa mazuri kumbe ni majanga na kuishia kuwa baba wa nyumbani yalipita masaa 20 roja akapigiwa simu za vitisho na yule demu wake mzungu kuwa arudi home asiporudi atamshitaki kwa afisa uhamiaji kuwa anaishi bila vibali hapa uholanzi na ukizingatia Kila vibali vyake alikuwa anamiliki yule demu wake je roja ata toboa kwenye hili tukutane sehemu ya nne itaendelea
 
Kama anapew utulez na maish yanaendelea yeye aendelee kuosha vyombo tuu na kuwalea wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…