Baba wa nyumbani!

Baba wa nyumbani!

SEHEMU YA PILI.
Roja aliendelea kutishiwa na kuishi maisha ya kuogopa ndani ya ile nyumba alijuta kwa nini alikuja ulaya na yule mkewe alimwambia Mimi ndio nilie kuleta hivyo ili urudi kwenu Mimi ndio mwenye maamuzi kwa sasa hauwezi kurudi kwenu Zanzibar sahau kuhusu hilo sasa si unajuaa sisi wa Swahili ni wabishi sana roja alikuwa mpole ila moyoni ana lake jambo akawa mpole akaendelea kuwa baba wa nyumbani huku siku zikienda akajikuta akawa mwenyeji pale alipo kuwa anakaaa mujini Amsterdam palikuwa na sheli inaitwa Esso Amsterdam Sarphatistraat alikuwa akienda anashinda pale nusu saa halafu anarudi nyumbani kuwa baba wa nyumbani pale maeneo ya sheli kulikuwa na waafrika wenzie wa Ghana ,Nigeria alikuwa anapenda kupiga nao story pale sheli Hawa walikuwa wanafanya kazi pale sheli sasa roja Kuna siku alienda akazidisha masaa 2 pale sheli ile anarudi nyumbani akawakuta familia nzima ipo sebuleni wote wakimuangalia vibaya sana mkewe akampiga kibao roja akamwambia wewe inatakiwa usitoke nyumbani unatakiwa ukae nyumbani ukilea watoto wangu sasa roja nae si akawaka akaona hizi dharau yaani mie nilee watoto wa watu sio kweli akarudisha kibao ugomvi ukawa mkubwa pale sebuleni

Itaendelea
 
Back
Top Bottom