Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Ndiyo mafundisho uliyopata kanisani kwenu hayo?Vagina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mafundisho uliyopata kanisani kwenu hayo?Vagina?
Haya ndio yanawaumiza? Mna shida mahali nyie watu!! Vp Zanzibar ambako hakuna kiongozi mkristo hata mmoja?MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.
Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:
Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.
Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.
Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.
Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.
Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.
Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:
Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.
Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.
Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.
Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.
Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!
Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.
Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
Hao viongozi waliopo kawaweka nani ?Haya ndio yanawaumiza? Mna shida mahali nyie watu!! Vp Zanzibar ambako hakuna kiongozi mkristo hata mmoja?
Ngoru...Mzee inaoneasha wazi una msongo wa mawazo ambao aidha umesababishwa na malezi au makuzi enzi ya utoto/ujana wako.ekja na
Pole sana...M/Mungu akufanyie wepesi!
Hee kumbe macomedian wamekuwa ni madaktari?Mzee Mo,nakushauri kama Dr...kwa umri uliofikia si vyema kubeba vitu vingi akilini,hasa vile vinavyokukwaza!
Mag...Ukweli asiotaka kuueleza ni Mohamed Said ni jinsi uhusiano kati ya walowezi Wazulu (Wakristo) na Manyema ulivyopandwa, ukakua na ukakomaa hadi wakawa ndugu wa damu.
Ukweli mwingine asiousimulia ni kilicho nyuma ya hizi jitihada zake za kutaka kuwakuza hawa walowezi wawe msitari wa mbele kama Watanganyika zaidi ya wazawa wenyewe wa asili.
Dini anaitumia tu kuficha lengo lake kwani Waislamu wazawa ni kama vile anawaweka daraja la pili. Anajua fika kuwa katika kitabu cha Watanganyika kilichotaja makabila yote ya Tanganyika wakati wa mkoloni, wazulu na Manyema hawapo.
Akafikiria namna ya kuwaingiza wazee wake kwenye historia ya Tanganyika ni kwa kutumia udini. Wazulu walikuwa ni askari vijana waliotoka vitani wakalowea Tanganyika na hawakuwa na familia.
Vijana wa Kizulu (Wakristo) wakatengewa na wakoloni eneo la Gerezani wakiishi na Manyema. Wakawaona mabinti wa kimanyema (Waislaam) kuwa ni wazuri na kutaka kuwaoa. Sharti walilopewa ili kuwaoa ni kubadilisha dini.
Undugu wa damu ukaanzia hapo na Mohamed Said alizaliwa kwenye mazingira yanayofanana na hayo. Wajomba zake walikuwa Wazulu. Leo anawakuza wazee wake kama ndio hasa wapigania uhuru wa Tanganyika!
Vipi Watanganyika? Je bila walowezi hatungepata uhuru? Je bila wazulu na Manyema hakuna Mtanganyika angedai uhuru? Hizi nguvu zote za kuwaingiza na kuwatanguliza walowezi katika historia ya Tanganyika lengo lake hasa nini?
Eti ndio hao walowezi walioongoza mapambano ya kudai uhuru ni tusi kubwa kwa Watanganyika. Unamkuta mjukuu wa walowezi anamdhihaki hadi baba wa Taifa akidai si lolote, si chochote! Kwamba uongozi alipewa tu na wazee wa Gerezani!
Really? Naishia hapo.
Sykes Mbunyewane alikuwa anaswali masjid gani huko Uzuluni kwao? Huu ni uwongo. Weka uthibitisho mzee.Mag...
Sykes Mbuwane kaingia Tanganyika akiwa Muislam na alikuwa na nduguye kipofu wamekuja pamoja anaitwa Ali Katini.
Ally Sykes alipozaliwa alipewa jina la Ally ambae ni babu yake.
Ramadhani Mashado Plantan kaingia Tangnayika 1905 akiwa na umri wa miaka 5 akiwa Muislam.
Ally Sykes alikwenda kijijini kwao Kwalikunyi Msumbiji alipotoka babu yake na kawakuta ndugu zake Waislam.
Hii ilikuwa 1952.
Ukiwa mlowezi ni kosa kuandikwa historia yao?
Sasa historia ya Kleist Sykes ipo katika Dictionary of Afrian Biography na mwandishi ni Mohamed Said.
Historia ya Abdul Sykes kipo kitabu kizima (1998) na tuaingia sasa toleo la 5.
Tuifute historia hii kwa kuwa ni mjukuu wa mlowezi?
Tuzifute kadi na 2 na 3 ya Ally na Abdul Sykes?
Kleist Sykes yupo ndani ya Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Hee kumbe macomedian wamekuwa ni madaktari?
Wise...Mzee Mo,nakushauri kama Dr...kwa umri uliofikia si vyema kubeba vitu vingi akilini,hasa vile vinavyokukwaza!
Schmidt,Sykes Mbunyewane alikuwa anaswali masjid gani huko Uzuluni kwao? Huu ni uwongo. Weka uthibitisho mzee.
Wewe si Mwanahistoria? Jee, umewahi kukanyaga huko Uzuluni ukauona msikiti aliokuwa akiswali Babu yako, na kuchunguza mazingira ya Uislamu wake huko?Schmidt,
Yote hayo ya nini ndugu yangu kama ni uongo basi acha ubakie uongo kwangu.
Schmidtt,Wewe si Mwanahistoria? Jee, umewahi kukanyaga huko Uzuluni ukauona msikiti aliokuwa akiswali Babu yako, na kuchunguza mazingira ya Uislamu wake huko?
Wewe si Mwanahistoria? Jee, umewahi kukanyaga huko Uzuluni ukauona msikiti aliokuwa akiswali Babu yako, na kuchunguza mazingira ya Uislamu wake huko?
Vagina unawashwawashwa nini? Au ndiyo siku zako za mwezini zisizoisha? Niende huko ili iweje?Wewe ulishafika ? Hivi unajua historia ya Hao watu
Mzee anawanyosha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe huchoki na huu upuuzi wako, historia ya kweli my foot! Bahati nzuri wale uliowazoea wakimeza hizi ngano zako idadi yao imekuwa ikipungua kila siku. Amka Mohamed Said, dunia haikusimama kama unavyoelekea kuamini na kwa sasa hadi wajukuu wako watakuwa wanakushangaa wakijiuliza huyu babu vipi. Naomba nikupe ushauri mdogo, umeshahangaika vya kutosha heri sasa ung'atuke upumzike.
King...Mzee anawanyosha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Schmidt,Vagina unawashwawashwa nini? Au ndiyo siku zako za mwezini zisizoisha? Niende huko ili iweje?
Huyo kijana akashindane umbeya wa Wema Sepetu na Bongo Fleva. Huku siyo level yake.Schmidt,
Hapana kaka haifai.