Baba wa Taifa na Wazee wa Dar es salaam waliomuunga mkono wakati wa kupigania uhuru

Nadhani watawala wa zama zote wameitumia historia kama chombo cha poropoganda na siku zote mshindi ndie anaeandika historia,na muktadha wa Tanzania Nyerere alishinda na kwa hio historia rasmi ya Tanzania imemfanyia promo yeye peke yake kama ambavyo historia rasmi ya zanzibar inavyombeba Karume,lakini tunashukuru watafiti wasiofungamana na serikali kama mzee mohamed na alghassany wametufuonyesha upande mwingine wa historia na lol tulichokiona kimetuzindua toka kwenye uzembe wa kuutafuta ukweli mpya,tunaomba na vijana kama kina yeriko watafiti bado kuna nafasi
 
Nnangale...
Usiwe na haraka yalikuja mambo ya kusikitisha kuanzia 1963 baada ya Muslim Congress ya 1962 na 1963...

Ukisoma kitabu cha Abdul Sykes utayakuta humo.
We mzee kila sentensi tano unaingiza udini asee hivi umesoma elimu Dunia?
 
Nyerere tutamkumbuka sana alifanya Tanzania iwe sehemu salama ya kuishi
Angechukua nchi mtu mwengne Sasa hivi tungekuwa kama Nigeria au Somalia
 
Red...
Mwalimu Nyerere alikuwa kiongozi hodari lakini sifa ya utulivu wa nchi
haikumtegemea yeye peke yake.

Misingi aliyoikuta katika siasa alipofika Dar es Salaam ndiyo iliyojrnga
amani hii ambayo leo tunayo.

Nyerere kafika Dar es Salaam hakuna mtu anaemjua lakini alipokewa
na wenyeji na wakamfanya ndugu na wakampa uongozi katika TAA
kisha TANU na wakawa nyuma yake kama kiongozi hadi uhuru ukaja.

Hii misingi haikutetereka.
Angalia picha hiyo hapo chini:

upload_2018-3-22_23-48-41.png

BARAZA%2BLA%2BWAZEE%2BWA%2BTANU.jpg
 
View attachment 722775

BARAZA%2BLA%2BWAZEE%2BWA%2BTANU.jpg
Nawaheshimu sana Wazee wetu kina Sykes na wengine
Walifanya Kadri walivyo jaaliwa na Allah

Lakini lazima tukubali mwalimu nyerere alipewa hekima zaidi

Kaka mood nakwambia hii nchi angeshika mwengine katika Hilo kundi nchi ingeshasambaratika hii

Bahati mbaya Wazee wetu wa kariakoo wanapenda kujiweka katika kundi la nje kitu ambacho sio kweli

Kaka mood mi nimekulia kigogo miaka imepita mingi siasa za kariakoo Ni za fitna na si kujenga
 
Red...
Tuendelee na mjadala.

Sijaona udini wowote katika kurekebisha historia iliyokosewa.
Kaka mood Unaweza kuwa mtu mwenye IQ kubwa sana
Ila watu wengi wa nakuchukulia negative kwa sababu mijadala yako huegemea upande mmoja

Nakuambia ungeepuka biases kwenye uandishi wako hata nakala za vitabu vyako ungeuza sana
 
Naegemea vipi?

Mimi naandika yale ninayoyajua na hii ni historia ya wazee wangu.

Ikiwa huku ni.kuegemea na wewe hukupendi hii ni bahati mbaya kwako.

Nani kakuambia kuwa kazi zangu haziuziki?

Kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa London nakala ya Kiingereza 1998.

Tafasiri ya Kiswahili imechapwa Nairobi 2002 na tunakwenda toleo la tano.

Kuandika yale yaliyokataliwa ndiko kulikokifanya kitabu hiki kipendwe.
 
Kuandikwa ysle yaliyokataliwa ndiko kulikokifanya k8tabu hiki kipendwe.
Usiku mwema nalala kaka mood nitarudi kesho tuongee zaidi
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Red...
Naegemea vipi?

Mimi naandika yale ninayoyajua na hii ni historia ya wazee wangu.

Ikiwa huku ni.kuegemea na wewe hukupendi hii ni bahati mbaya kwako.

Nani kakuambia kuwa kazi zangu haziuziki?

Kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa London nakala ya Kiingereza 1998.

Tafasiri ya Kiswahili imechapwa Nairobi 2002 na tunakwenda toleo la tano.

Kuandika yale yaliyokataliwa ndiko kulikokifanya kitabu hiki kipendwe.
Excellent may God almighty bless you and come back with more history we want to learn more and more and more
 
Back
Top Bottom