Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Asante nimeipenda hii, historia ina utamu wake hakikaChe,
Kuna video nyingi sana nazungumza kuhusu historia ya Tanganyika.
Angalia hii:
Mohamed Said: KISA CHA ALI MWINYI TAMBWE NA KITWANA SELEMANI KONDO 1950s
Che...Asante nimeipenda hii, historia ina utamu wake hakika
We mzee kila sentensi tano unaingiza udini asee hivi umesoma elimu Dunia?Nnangale...
Usiwe na haraka yalikuja mambo ya kusikitisha kuanzia 1963 baada ya Muslim Congress ya 1962 na 1963...
Ukisoma kitabu cha Abdul Sykes utayakuta humo.
Red...Nyerere tutamkumbuka sana alifanya Tanzania iwe sehemu salama ya kuishi
Angechukua nchi mtu mwengne Sasa hivi tungekuwa kama Nigeria au Somalia
Red...We mzee kila sentensi tano unaingiza udini asee hivi umesoma elimu Dunia?
Nawaheshimu sana Wazee wetu kina Sykes na wengineRed...
Mwalimu Nyerere alikuwa kiongozi hodari lakini sifa ya utulivu wa nchi
haikumtegemea yeye peke yake.
Misingi aliyoikuta katika siasa alipofika Dar es Salaam ndiyo iliyojrnga
amani hii ambayo leo tunayo.
Nyerere kafika Dar es Salaam hakuna mtu anaemjua lakini alipokewa
na wenyeji na wakamfanya ndugu na wakampa uongozi katika TAA
kisha TANU na wakawa nyuma yake kama kiongozi hadi uhuru ukaja.
Hii misingi haikutetereka.
Angalia picha hiyo hapo chini:
View attachment 722775
KumradhiRed...
Kumwita mtu ''We...'' si adabu tena ukijua kuwa huyo ni mzee.
Ikiwa una hoja unajadili tu hapana haja ya kuhamaki na kuja
na lugha zisizo na staha.
Red...Kumradhi
Kaka mood baba ako alipata kuwa naniBagamoyo,
Hakika watoto wa wazalendo wana mengi sana katika historia ya TANU na uhuru
wa Tanganyika.
Naanza na mimi mwenyewe:
Mohamed Said: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Juma Mwapachu:
Mohamed Said: FB: JUMA MWAPACHU AMZUNGUMZIA BABA YAKE KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Bi. Maunda Plantan:
Mohamed Said: WATOTO WA WAPIGANIA UHURU BI. MAUNDA PLANTAN, JUMA MWAPACHU, HAPPY MTAMILA NA KLEIST SYKES WANAPOWAKUMBUKA WAZEE WAO
Red...Kaka mood baba ako alipata kuwa nani
Kaka mood Unaweza kuwa mtu mwenye IQ kubwa sanaRed...
Tuendelee na mjadala.
Sijaona udini wowote katika kurekebisha historia iliyokosewa.
Red...Kaka mood Unaweza kuwa mtu mwenye IQ kubwa sana
Ila watu wengi wa nakuchukulia negative kwa sababu mijadala yako huegemea upande mmoja
Nakuambia ungeepuka biases kwenye uandishi wako hata nakala za vitabu vyako ungeuza sana
Usiku mwema nalala kaka mood nitarudi kesho tuongee zaidiRed...
Naegemea vipi?
Mimi naandika yale ninayoyajua na hii ni historia ya wazee wangu.
Ikiwa huku ni.kuegemea na wewe hukupendi hii ni bahati mbaya kwako.
Nani kakuambia kuwa kazi zangu haziuziki?
Kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa London nakala ya Kiingereza 1998.
Tafasiri ya Kiswahili imechapwa Nairobi 2002 na tunakwenda toleo la tano.
Kuandikwa ysle yaliyokataliwa ndiko kulikokifanya k8tabu hiki kipendwe.
Excellent may God almighty bless you and come back with more history we want to learn more and more and moreRed...
Naegemea vipi?
Mimi naandika yale ninayoyajua na hii ni historia ya wazee wangu.
Ikiwa huku ni.kuegemea na wewe hukupendi hii ni bahati mbaya kwako.
Nani kakuambia kuwa kazi zangu haziuziki?
Kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa London nakala ya Kiingereza 1998.
Tafasiri ya Kiswahili imechapwa Nairobi 2002 na tunakwenda toleo la tano.
Kuandika yale yaliyokataliwa ndiko kulikokifanya kitabu hiki kipendwe.