Baba yake Majaliwa mvuvi ajitokeza na kudai..

Ni kweli wanafanana.

Ila Majaliwa ameshapita umri wa kuwa chini ya uangalizi wake.

Ana weza fanya maamuzi yake binafsi na yakakubalika.
 
Mzee ameibuka toka kusikojulikana kisa kasikia pesa. Ajiangalie huyo dingi.
 
Yani clouds wanazidi kujishusha na content zao zisizoelewa. Habari zao nowdays hazina tofauti na online media zilizoibuka kama Uyoga. Ruge kafa na hadhi ya kituo chali
Pole sana. Nachojua hii ni station ya kupiga muziki. Mambo ya habari haijawahi hii station haijawahi kufanya vizuri tangu ianzishwe. Ni umbumbumbu wa wabongo tu ndiyo unawapa sifa.
 
Mzee hana busara Hayo yalikua maswala ya yeye na mwanae pia kingekua kipimo kizuri kwa mwanae kujua kama mtoto wake ana akili timamu au lah! Kwani yeye kijana hafahamu maisha ya nyumbani kwao!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishasema hapo hawali kuwa hii spinning ni mkakagi.
Hata sisi gusiokuwemo tunalazimika kuvuka na upepo.

What ashame
 
Omba radhi humu humu aisee, umetudharau sana CCM, umeniumiza roho na moyo wangu, umetutusi sana, omba radhi please please..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani bila aibu nawe ni ccm kabisa?
 
Sperms donor as usually [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hana ht aibuu eti mgao kaaahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…