Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Nachojua hii ni station ya kupiga muziki. Mambo ya habari haijawahi hii station haijawahi kufanya vizuri tangu ianzishwe. Ni umbumbumbu wa wabongo tu ndiyo unawapa sifa.Yani clouds wanazidi kujishusha na content zao zisizoelewa. Habari zao nowdays hazina tofauti na online media zilizoibuka kama Uyoga. Ruge kafa na hadhi ya kituo chali
Sure yaanUmasikini ni kitu kibaya sana vijana wenzangu, tupigane kabisa, tusipate aibu uzeeeni
Nilishasema hapo hawali kuwa hii spinning ni mkakagi.Nasikitika sana kwamba tumebaki na vijiwe vya kupiga gumzo kama unavyosema, hatuna vyombo vya habari kabisa hapa nchini.
Hebu fikiria,imetokea ajali, watu wamepoteza wapendwa wao lakini chombo cha habari kimeona habari ya kufuatilia na kuiendeleza ni ile ya kijana aliyekuwepo kwenye uokoaji, tumfuatilie na kuhoji wazazi wake wote. Tuwahoji maswali ambayo yatatengeneza habari kwa wiki nzima.
Hili ni tatizo sasa na hivi mama wa kijana alishasema baba aliwaacha hayupo nao nyùmbani hapo inatafutwa stori nyingine.
Hii ndio shida ya kujaza watu wenye shule ndogo sehemu zinazohitaji watu wabobevu kwenye taaluma husika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani bila aibu nawe ni ccm kabisa?Omba radhi humu humu aisee, umetudharau sana CCM, umeniumiza roho na moyo wangu, umetutusi sana, omba radhi please please..!!
wamemkosea sana dingi, ni kama wanamtumia hivi kukick, ningekua mimi asee🤔🤔
Kuna tatizo kubwa sana kwenye vyombo vyetu vya habari, hasa Clouds.