Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nakubali sana mkuu....Ngoja niseme kwa watoto wangu.....
Kwanza hawajawahi kujua kama sina ama baba anaishiwa, na kama sina hua nawaahidi kwamba siku flani nitatimiza na lazima nitimize.
Lakini pia kwa namna nilivyo walea, hawa madogo wanamuamini baba yao (mimi) kuliko mtu yeyote duniani.....
Halla Ushimen..Ngoja niseme kwa watoto wangu.....
Kwanza hawajawahi kujua kama sina ama baba anaishiwa, na kama sina hua nawaahidi kwamba siku flani nitatimiza na lazima nitimize.
Lakini pia kwa namna nilivyo walea, hawa madogo wanamuamini baba yao (mimi) kuliko mtu yeyote duniani...๐
Tupe kionjo cha mzee wetu kwenye mambo ya HelaEndelea kupumzika mzee ,nakukubali Sana na nitaendelea kukubali sana
Halafu wakiwa wakubwa wataanza kuimba "nani kama mama"Ngoja niseme kwa watoto wangu.....
Kwanza hawajawahi kujua kama sina ama baba anaishiwa, na kama sina hua nawaahidi kwamba siku flani nitatimiza na lazima nitimize.
Lakini pia kwa namna nilivyo walea, hawa madogo wanamuamini baba yao (mimi) kuliko mtu yeyote duniani...๐
Hahahaa kumbe ndio maana Mama alikua anampakulia Baba nyama nyingi.....Ndiyo!
Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela๐ ๐
sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali?
Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
Baba bora kabisa, kongolee kwako.Ngoja niseme kwa watoto wangu.....
Kwanza hawajawahi kujua kama sina ama baba anaishiwa, na kama sina hua nawaahidi kwamba siku flani nitatimiza na lazima nitimize.
Lakini pia kwa namna nilivyo walea, hawa madogo wanamuamini baba yao (mimi) kuliko mtu yeyote duniani...[emoji4]
Mama zetu wanaficha hii knowledge but in reality mwanaume lazima uwe katili else jamii haikuheshimuNakumbuka sebureni kulikua na sofa maalumu la kukaa mshua tu, ilo sofa hata asipokuwepo linabaki bila kukaliwa na yoyote. Nilikua namwona mzee dikteta ila badae sana nikaja kujifunza mwanaume bila kuwa na element za kidikteta watu watakuchukulia poa