Baba yako ndo chanzo chako hivyo ukimkataa lazima ukose baraka

This logical fallacy is called ad hominem.

An ad hominem attack occurs when someone does not address the points raised, but focuses on attacking the person raising the points.
Nayatunza haya maneno kuntu kwenye kikao Cha tarehe kumi na tisa ,watajua hawajui hawa watendaji ni mwendo kingereza tu
 
Bora ngemwaga njeee kuliko mwaga ndaniii ... alisikika muzeee mumoja wa kaskazini
 
Ila Kaboi frend kasipo jibu msg unakasamehe ila Baba unaweka Kinyongo.
Shaur lako
 
Sio kweli, Mbona Diamond amemkataa baba yake mzee Abdul na bado yupo anadunda.
 
Cheki hili nalo alafu unawezakuta ni ME linalilia graduation kama litoto lidogo, baba yako makubwa yote aliyokufanyia hata hauoni, wewe unaona Gradu ndio muhimu kuliko huduma yote uliyopata mpaka ukahitimu.

Wewe kilazi kweli.
 
Baba akisema ufanikiwi na aufanikiwi kweli et ndio una mainisha hivyo au endeleeni kuwadanganya!
 
Kinyongo kwa baba yako kisa graduation? Kwahiyo umeacha kuwa mwanae kimoyomoyo?
Una matatizo mengi sana wewe.
 
Ebu mkuu nioneshe ni maandiko yapi yanasema kuwaombea wafu 🤔lete msaafu wowote aidha wa Christian au Muslim unipe quotes
 
Itakuwa aligundua wewe sio mtoto wake kuna faulo ilichezwa.!! Pole sana 😹😥
 
Naam, naam.

Nilichelea ukariri maneno ya Kiingereza bila kuelewa maana, lakini umepiga mule mule.
Nimo nimo kiasi Kaka sema ndiyo vile hii lugha inataka kujiamini Sana .

Ndiyo maana nikichanganyaga maneno kuntu Kama haya wote wanaishia kuniangalia kwa huruma maana hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…