Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

Baba yangu aliwahi kuniambia nikiwaendekeza wanawake katu sitafanikiwa

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu.

Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini.

Moja, mwanamke ukshakuwanaye ndani yeye anawaza namna ya kukutawala na kuhakiksha mnakuwa kama ka kisiwa, usipokuwa imara atakutenganisha na ndugu, wazazi na marafiki.

Pili, mwanamke anaangalia sana maslahi, mali, pesa na wakati wowote akitokea mtu mwenye navyo kuliko wewe atakuacha, ni nyoka na kinyonga.

Tatu, mwanamke anawaza kupigwa dushe, sitakiwi kuendekeza niwe makini.

Ni hayo tu wakuu.
Thanks dady.

Nasubiri maoni yenu.
 
Aisee ndo kumekucha kwa style hii, ubaya ni kwamba wengi tunaoanzisha mahusiano sio ke sio me hatuwezi kutumia akili kwenye hayo mahusiano badala yake mostly moyo na hisia ndo hutuamulia mambo mengi, so unaweza ukayajua yote hayo bado ukashindwa kuyatekeleza kwa vitendo
 
Hakukuelekeza ni namna gani utunze familia yako na kua baba bora kwa wanao ila kumpiga dushe mkeo ili umridhishe yeye tu.

Kukurukakara zote ni ili yeye aridhike, za mzee wako wa miaka ya 80 changanya na zako kijana wa karne ya 21.
 
Wanawake siyo watu wa kuwashirikisha katika ishu zako za maendeleo
hii si kweli
sema wadada wa mjini, kuna wanawake wana akili hata sisi wanaume hatufiki

unakuwa na mwanamke unafanya mambo ya maana sana mkiachana unaporomoka balaa

labda uwe na akili ya kumuomba ushauri

ila wenye hizi akili ni wachache sana
 
Mzee wako ana matatizo na ni mbinafsi kabisa tambua hata yeye aliacha ndugu na wazazi wake akapata mke ndo ukapatikana wewe.

Wazazi wa sasa ni wabinafsi wanataka uwasaidie eti na ndugu zako ambao wengi ni watoto wake (wanae) wewe ni ndugu zako...Tambua mwisho wa siku kila mtu atatafuta maisha yake hata hao ndugu zako wataishi kwao hata ulale njaa hawatojua na wana familia zao..

Tambua wazazi wengi wana maslahi yao binafsi hawataki watoto wao waoe wanaona kama watatoka kweny milki yao ..Swali je wao wanaishije wanachokula hapo kwenu ndo ndugu wanakula si wameacha ndugu huko wanaishi kila mtu kivyake?

Usipokuwa na familia kwa kusikiza wazazi wako usije kulaumu mtu mbeleni.
 
Wanawake siyo watu wa kuwashirikisha katika ishu zako za maendeleo
kama ndugu zako ni muhimu sana fanya kufunga ndoa nao na uzae nao ..

Ukitafuta familia basi tambua ni wewe na mkeo hata wazazi wako hawatakiwi kutia maneno kweny familia yako.
 
Aisee ndo kumekucha kwa style hii, ubaya ni kwamba wengi tunaoanzisha mahusiano sio ke sio me hatuwezi kutumia akili kwenye hayo mahusiano badala yake mostly moyo na hisia ndo hutuamulia mambo mengi, so unaweza ukayajua yote hayo bado ukashindwa kuyatekeleza kwa vitendo
For sure ni kweli kabisaaaaaaaaa
 
Mzee wako ana matatizo na ni mbinafsi kabisa tambua hata yeye aliacha ndugu na wazazi wake akapata mke ndo ukapatikana wewe...
Umemaliza kabisa umeongea point sana shida ya wazee wanawatisha sana vijana kwakuwa yao washamaliza
 
Ishi Na Maneno Ya Mzee Hakuna Cha Uwogo Hapo,Cha Msingi Ni Kuishi Nao Kwa Akili tu
 
Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu.

Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makin...
Sio wanawake alikuambia kuhusu mademu. We omba Mungu akupe mke mwema halafu tulia mpange maisha. Kufanikiwa ni dakika sifur.
 
Back
Top Bottom