Kama baba yako kaishi na wewe kwa miaka 36 lets say mpaka umemaliza degree na bado unaishi maisha magumu kwa ushabiki wako tu wa vyama na unamuona mnyanyasaji, ni ajabu?
Bughuruni na Lumumba yalipo makao makuu ya chama si mbali na hapo Bughuruni kwa nini usijieleze kwa viongozi wako wa chama wakupatie kazi ikiwa wewe ni mwanachama safi?
Wewe ni mzee na unahitaji kujitegemea ikiwa utaendelea kumchokoza mzee wako hata kumvunjia ndoa yake kweli unadhani kwa umri huo ataolewa na chama?
Kama usipobadilika unaweza ukaingiwa na roho ya uchawi na jinai.