Baba zetu wakiamua kufunguka na kulaumu kama wanavyofanya mama zetu basi hapatakalika, hapatalika wala hapatalalika

Umepiga mule mule!!
 
true
 
Kuna mtu aliwahi sema"wakati mwingine kabla ya kumlaumu baba yako kwa nini alitelekeza familia, naomba nikumbie kitu..unajua vituko vya mama yako
mpaka baba yako akaamua kukimbia?"
 
Kuna mtu aliwahi sema"wakati mwingine kabla ya kumlaumu baba yako kwa nini alitelekeza familia, naomba nikumbie kitu..unajua vituko vya mama yako
mpaka baba yako akaamua kukimbia?"
Kweli mkuu, ila Kuna tofauti kati ya kutelekeza mke na kutelekeza familia. Wanaume smart wanaachana na wake zao na watoto wakifika sekondari tu hapo wanamwelewa mzee. Shida huwa ni kutelekeza mke na watoto halafu mbaya zaidi uvute mama mpya uzae nae toto mupya zile za kale ziwe zilipendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…